Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Ukikutana na wafanyakazi wa hizi benki, walivyotoka bling blin na tai zao, wako kwenye magari yana AC.
Jinsi wanavyoongea kwa mikogo na kujifanya wajuzi wa mambo. Wako bize na wanajifanya wanajua kwenda na time, ukiongea nao ni kama vile unaonge na Very important person.
Yan kwa kifupi ni watu wakujipa profile ya juu.
Haya sasa fungua gazeti la The Guardian uangalie financial statements zao. Mungu wangu utashanga kuona benki yao imeingiza hasara ya mabilioni ya pesa.
Yani huwezi amini unakuta benki imepata hasara ya bilioni kumi na saba ihali wafanyakazi wake sasa wanajiona wako very productive na kuwa wao ni watu wa muhimu sana hapa Duniani.
Mimi nawataka waache ushamba, na kama ingekuwa mimi ni mmoja wa wawafanyakazi kwa statemet zile ningevaaa tu overall maana haina faida ya kupiga suti kali kumbe mnachofanya huko maofisini ni ubuyu tupu.