Ukiwaangalia na kuwasikiliza maprofesa wa Tanzania, je unapata kiu ya kuwa profesa?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Kutokana na vituko vya hawa wasomi imebidi nilete huu uzi

Binafsi nawaamini wenye elimu ya kawaida-masters kuliko hawa.
Tuanze na lipumba,kajiuzuru uenyekiti CUF Leo anataka kurudi wakati sababu zilizofanya ajiuzuru bado zipo.

Dk mihogo yeye alikimbia kanisa,kakimbia ukombozi wa taifa na kujiunga na wakandamizaji.
Prof wa pesa za mboga naye ni mfano mwingine.
Process kapuya....yeye alikumbwa na misukosuko kutoka kwa kabinti.

Dk bana yeye aliweka uchumi pembeni akawa mpiga propaganda
profesa shivji aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya
Dk mwakyembe aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya
Mkuu wa UDOM ni prof na yeye anasema alikuwa anaingiza wanafunzi wasio na uwezo akiogopa kufukuzwa Kazi

Binafsi hawa wanakata kiu yangu ya kupanga vyeti mpaka kuufikia uprofesa....
Prof shivji a
 
Uprofessa sio vyeti ni research and publications, kwa vile ulizo hata ukitaka huo uprof. huwezi fika we endelea tu na kadiploma kako ka procurement na criticism za kijinga.
 
Kutokana na vituko vya hawa wasomi imebidi nilete huu uzi

Binafsi nawaamini wenye elimu ya kawaida-masters kuliko hawa.
Tuanze na lipumba,kajiuzuru uenyekiti cuf Leo anataka kurudi wakati sababu zilizofanya ajiuzuru bado zipo.

Dk mihogo yeye alikimbia kanisa,kakimbia ukombozi wa taifa na kujiunga na wakandamizaji.
Prof wa pesa za mboga naye ni mfano mwingine.
Process kapuya....yeye alikumbwa na misukosuko kutoka kwa kabinti.

Dk bana yeye aliweka uchumi pembeni akawa mpiga propaganda
profesa shivji aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya

Dk mwakyembe aliyakana maandiko yake wakati wa katiba mpya
Mkuu wa UDOM ni prof na yeye anasema alikuwa anaingiza wanafunzi wasio na uwezo akiogopa kufukuzwa Kazi

Binafsi hawa wanakata kiu yangu ya kupanga vyeti mpaka kuufikia uprofesa....
Prof shivji a

Ukiangalia vizuri na kwa umakini Dr and so called Prof wana matatizo mengi Mno na ni Wabovu sana kwenye utendaji na watu wengi huwa wanasema ni wazuri kwenye flani ya research na academic ila hata huko ni Wabovu mbaya .

Yaani madr na maprof wa bongo darasani kwenyewe kufundisha ni shida research nazo wanafanya wachache na wengi wao ukiwachunguza baadhi walikuwaga na udhaifu fulani so huwa wanasoma kwa ngazi ya udr au uprof kuficha huo udhaifu,

wengi pia angalia wamepitia zile njia ndefu za kuunga unga, by the way Umemsahau dr shukuru Kawambwa aliyerestisha elimu yetu in peace, Umemsahau prof Msola, Umemsahau prof Maghembe, Umemsahau prof Rwekaza mukandala aliedumaza Udsm mpaka sasa inatoa elimu magumashi
 
Uprofessa sio vyeti ni research and publications, kwa vile ulizo hata ukitaka huo uprof. huwezi fika we endelea tu na kadiploma kako ka procurement na criticism za kijinga.
Ww ndio unaongea ujinga-sasa kama hizo publication na research zinashindwa kukuwezesha kukuza ubongo na kupambanua mambo kitalaam kuna haja gani ya kuwa profesa.
Kama unaongea vitu visivyoendana na reserch zako-kuna maana gani ya kuwa profesa.
Ma profesa na madokta wa tanzania ni hasara kabisa
 
Mkuu mimi ninadhani tatizo la wasomi kutofanya kinachotegemewa sio kwa Ma PHD holders na Profesor tuu kwani kwa Tanzania ata baadhi ya watu wenye Masters na Bachekor degree hawawezi kufikiri au kufanya mambo kulingana na elimu zao. Utakuta mtu ana elimu na kipato kizuri cha mshahara lakini miaka nenda rudi hana chanzo kingine cha mapato wala hajawahi kuzalisha ajira hata moja zaidi ya house girl.
 
Mkuu nimeipenda hii na hata huyo housegirl halipwi kwa wakati na manyanyaso kibao
 
Nani amekwambia mwenye diploma hawezi kua professor? Acha ujinga, mbona mwenye D 4 za O lever yupo UDOM anasona degree? Acha ushamba.

We ndo hovyo kabisa..D 4 udsm?? Usitetee ujinga wako kwa kutoka taarifa zisizo sahihi..UDSM sio UDOM..kama huna elimu tulia kalime mihogo
 
Most of them are useless

UKAWA walishindwa uchaguzi kwa kuwa hawana maprofesa wengi wa kuwashauri kama CCM.

UKAWA kuna maprofesa watatu tu ambao hata kusikilizwa hawasikilizwi.

kuna profesa baregu, Safari na LIpumba.Wakiwashauri wasiokuwa wasomi akina mbowe hata hawawasikilizi kwa kuwa wanadharau sana maprofesa.
 
Mkuu nimeipenda hii na hata huyo housegirl halipwi kwa wakati na manyanyaso kibao
Mkuu hii hali ya kutofikiri wala kubuni chochote ndio imefanya wakati fulani wasomi kupindisha ukweli au kudanganya ili kutetea mshahara. Tusijisifu sana kupiga shule hali ya kuwa elimu na vyeti vyetu havijatukomboa wenyewe wala jamii yetu, Kuna baadhi ya nchi heshima inategemea uzalishaji na ajira ulizozalisha sio vyeti
 
Back
Top Bottom