Ukiwa speaker unakuwa umepewa umungu mtu

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
719
Mheshimiwa sana Ndugae nime msikia mwenyewe kwenye Azam Tv akisema madaraka aliyo nayo ni zaidi yayaliyo andikwa kwenye kanuni na sheria zote.Yaani yeye ni yote katika yote.Ndiyo maana alimwambia Zito Kabwe anauwezo wa kumfungia kwa kipindi chote cha maisha ya bunge hili.Sijui sasa kamaiko hivyo wananchi wamchague mwakilishi wao halafu atokee mtu mmoja tu awakoseshe wananchi haki yao.Nihayo hayo yametokea kwa Bulae na Mdee.Kanuni hazitoi adhabu kama hiyo ya mwaka mzima kuto wakilisha wananchi walio mchagua.
 
Back
Top Bottom