Ukiwa Shabiki wa Yanga, unakuwa na wakati mgumu sana

andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
587
1,000
Mashabiki wa Yanga wanao wakati mgumu sana:

  1. Kwanza siku ya Valentine lazima watinge Jezi za Simba One love.Kama unabisha waulize
  2. Pili wanajikuta katika wakati mgumu kwa sababu sio washabiki wala wanachama wa CCM yaani ni shida zaidi
  3. Tatu Subiri matokeo yakitoka,hakuna cha kushangilia
Nashangaa sana watu wanaoshabikia Yanga
 

dubwang

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
261
500
Itakua wanashindwa kujitoa kwa kuona aibu wanaamua kufa na tai shingoni halafu wakiwa ugenini usikute wanajifanya sio mashabiki, kushabikia yanga taabu sana, yan ukiifurahia leo kesho jua maumivu
 
Top Bottom