Ukiwa njian kuelekea kibiti alafu ni askari.

Larkspur

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
205
260
93747635f522d4c2d869bd76c6937eea.jpg
 
Endeleeni kushangilia vurugu. Siku ndugu yako akiacha watoto uwalee kwa kuchinjwa na hao magaidi uje hapa utuambie dushe lilivyokuingia. Askari wa nchi hii watayashinda hayo maovu ya woga. Tulishawahi kushuhudia ya Loliondo ya Wasomali yakaisha, tukayaona ya KIGOMA ya warundi nayo yamepita, tunayaona ya Kongo ya Kabila, tupo Lebanon, Ivory Coast, Darfur, Sudan Kusini. Tumetishwa na Banda wa Malawi, Kagame wa Rwanda na Bado yupo sembuse huu ugolo wa Lindi.

Kuna siku askari wataamua, na nyie mtabaki mkilia kama wanavyofanya watamil na akina Konyi. Ushangiliaji wa maovu nyuma ya keyboard ya tecno ni mtamu sana hasa kwa kuwa wanaouawa hawakugusi. Subiri wamywe ndg yako uje utueleze huo ushilawadu.
 
Duh, wewe jamaa
 
mbona povu hivyo kwani kuna mtu anashangilia mauaji??
Mbna walimu wakifelisha wanaandamwa?
Na sie tunawaandama mpaka watakapohakikisha Kibiti imekuwa salama.

Nb;kila mtu atimize wajibu wake.
 
Naona unatamani kweli ndugu zangu wapotee sio? Basi inshaallah dua zako ziwe ila si kwa mapenzi yako bali kwa mapenzi yake.

Enjoy..
 
mbona povu hivyo kwani kuna mtu anashangilia mauaji??
Mbna walimu wakifelisha wanaandamwa?
Na sie tunawaandama mpaka watakapohakikisha Kibiti imekuwa salama.

Nb;kila mtu atimize wajibu wake.
Ya waalimu inafanana na ya KIBITI? Kwamba wanaua Askari na raia wasio na hatia, then kuna mtu anashangilia nyuma ya keyboard ya tecno (ya tochi?). Mwingine anafananisha na janga la walimu kufelisha wanafunzi. Hapa bongo kuna nuksi. Ningekuwa na uwezo watu kama hawa ningekuwa nawachukua nawapeleka huko halafu ningepiga picha nyuso zenu kuona kama zinafanana na mnapoandika!
 
Endeleeni kushangilia vurugu. Siku ndugu yako akiacha watoto uwalee kwa kuchinjwa na hao magaidi uje hapa utuambie dushe lilivyokuingia. Askari wa nchi hii watayashinda hayo maovu ya woga. Tulishawahi kushuhudia ya Loliondo ya Wasomali yakaisha, tukayaona ya KIGOMA ya warundi nayo yamepita, tunayaona ya Kongo ya Kabila, tupo Lebanon, Ivory Coast, Darfur, Sudan Kusini. Tumetishwa na Banda wa Malawi, Kagame wa Rwanda na Bado yupo sembuse huu ugolo wa Lindi.

Kuna siku askari wataamua, na nyie mtabaki mkilia kama wanavyofanya watamil na akina Konyi. Ushangiliaji wa maovu nyuma ya keyboard ya tecno ni mtamu sana hasa kwa kuwa wanaouawa hawakugusi. Subiri wamywe ndg yako uje utueleze huo ushilawadu.

Klee Soft Foam
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom