Ukiwa ndani ya CCM hata kama uko jela kwa ubakaji wewe ni msafi kama malaika

gps boy

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
447
65
Nimeshtushwa Na kauli za Viongozi Wa CCM kumtukana Lowassa Na kumwona in mhalifu kupita wote ndani ya CCM.

Ninachokubaliana nacho ni kuwa ukiwa ndani ya CCM, hata kama uko jela kwa kubaka, CCM itakusifia sana, lakini ukitoka, hata kama ni makamu wa rais utazushiwa uongo wa ajabu.
 
kule kwetu usukumani kuna msemo.." ....ukiwa ccm uko kwenye tumbo la Tembo..." olu ule muccm ule munda ya mhole.

hata ije dhoruba ya aina gani huta sikia...Toka sasa ndo utawaona...Policcm, TICCM,nk. Kwa kweli Polisi wetu ni wakatili kuliko hata wa Makaburu wanauwa wanapandishwa cheo, wakiua wanalindwa na system hakuna mtu kuwajibika kwa ajili ya mauaji ya raia wasio na hatia
 
Back
Top Bottom