Ukiwa nchini Uholanzi mpaka uje Kutamka neno Condom kwa Lugha yao basi na hamu yote ya Mapenzi nayo itakuwa imekwisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Kwa wale Wenzangu na Mie ambao huwa hatupendi sana maneno marefu na magumu hadi Kutamkika midomoni mwetu hasa ukiwa labda unajiandaa Kufanya Mapenzi na Demu wako huku tayari ‘ Mnara wako wa Babeli / Mkuyenge ‘ ukiwa umeshakusimama tukienda nchini Uholanzi ( kwa Wadachi wenyewe ) tunaweza hata kuwa tunakosa hamu ya Kufanya Mapenzi / Ngono pale tukitakiwa Kuagizia Mpira wa Kiume ( Condom ) kwa Lugha yao Wadachi.

Hii ni kutokana na jinsi neno Condom ( Mpira wa Kiume ) jinsi lilivyo refu, linachosha na hadi kutia Hasira Kulitamka ambapo kwa Lugha ya Kidachi / Kiholanzi ( Netherland ) Wao neno Condom Kwao hulitamka hivi ……svangerskabsforebyggendemiddel.

Hivyo basi si vibaya sana wale Wenzangu na Mie ambao mkienda nchi za Watu huwa hamtaki Kukaa huko bila ‘ Kutindua ‘ Mademu Wenyeji wa hizo nchi kama unajijua unaelekea nchini Uholanzi ( Netherland ) hivi karibuni ukaanza mapema kujipa mazoezi ya Ulimi wako na Kolomero lako jinsi ya Kulitamka vyema hili neon la…svangerskabsforebyggendemiddel…ambalo Kwao huko hapo ndiyo umetamka neno Condom ( Mpira wa Kiume )

Nawasilisha.

Chanzo Taarifa: MWANANCHI Online
 
kwani Mpira wa Kiume ni fupi ? kumbuka Condom sio kiswahili, na Kondumu pia ni lugha ambayo sio kiswahili iliyoandikwa kiswahili
 
kwani Mpira wa Kiume ni fupi ? kumbuka Condom sio kiswahili, na Kondumu pia ni lugha ambayo sio kiswahili iliyoandikwa kiswahili

Leo sina kabisa ' mood ' ya Kubishana / Ligi kwahiyo usitake Kunichosha tafadhali na tuswali swali twako hutu sawa?.
 
GENTAMYCINE mbona niimeena Google, nikaenda dictionary yao neno linagoma hata Encylopidia katika maneno marefu hili limezidi ? ngoja niende Guinness Book of the year kabla ya kumuuliza @Chahali atusaidie
svangerskabsforebyggendemiddel
 
Kwani neno Pumbu kwa mfano katika hiyo ' Google ' yako ipo maana yake? Ila mbona ndilo linatumika mno badala ya neno sahihi la Kende? Si lazima kila neno liwepo huko ' Google ' Kwenu tafadhali.
 
GENTAMYCINE mbona niimeena Google, nikaenda dictionary yao neno linagoma hata Encylopidia katika maneno marefu hili limezidi ? ngoja niende Guinness Book of the year kabla ya kumuuliza @Chahali atusaidie
svangerskabsforebyggendemiddel
Hahaha kwani haujajua kuwa hiyo ni chai mkuu

Wewe inywe tu ijapo kuwa ni mchana wenye jua kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE mbona niimeena Google, nikaenda dictionary yao neno linagoma hata Encylopidia katika maneno marefu hili limezidi ? ngoja niende Guinness Book of the year kabla ya kumuuliza @Chahali atusaidie
svangerskabsforebyggendemiddel
Mkuu ni kweli
Screenshot_2019-03-18-15-26-29.jpeg
 
Condom Kwa kidutch inatamkwa na kuandikwa hivi "Condoom" hii lugha ya mleta mada anaijua mwenyewe.....

Kuna Watu huwa mnayependa kweli na mnayatafuta Wenyewe yale maneno yangu ' Shombo ' halafu baadae mnanilaumu na kunikasirikia. Endelea tu ' Kunitibua ' na Kujijaza mwenyewe taratibu katika ' Frame ' ili ' nikuwashe ' vizuri tuheshimiane rasmi.
 
Haahaa povu kama lote, mwenye nguo chafu aje afue....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom