Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,070
Screenshot_2017-04-30-22-37-22.png
Waziri kairuki amesema, Zoezi hili halikuhusisha Viongozi wa Kisiasa wakiwemo Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Madiwani. Kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi, wote tunafahamu uteuzi na uchaguzi kwenye nafasi zao unafanyika kwa misingi ya wahusika kujua kusoma na kuandika, Ibara 67 (1) ya Katiba ya JMT.

My take: Kosa la kughushi cheti ni kosa la jinai,jinai hii haipaswi kuwatenga wanasiasa na watu wa kawaida!.

Hapa chini nimeweka hiyo Ibara ya Katiba aliyoisoma.
Screenshot from 2017-04-28 13-46-51.png

NB:Nadhani sasa ule utata wa wakuu wa mikoa na wilaya umeisha,hawa ni wanasiasa kwa mujibu wa Waziri!
 
Tukisubiri taarifa(repoti) hiyo inavyoonekana itamwepuka Bashite sababu tu ametokana na mamlaka ya uteuzi.

Bashite amekuwa chachu yakuisubiri hii repoti kwa hamu lakini amini nakwambieni hata ikirudiwa mara 100 kama wanavyosema ni endelevu bado huyu RC atapeta tu.

Update.
Angela Kairuki ametoa clearance kwa RC huyu.

Tunafanyiwa usanii wa hali ya juu.
 
Mkuu umekuwa obsessed na Makonda,kazi yote hiyo umeona si lolote kisa Makonda hayumo??!!
 
Na tukome sasa tena tukome sana kupaza sauti juu ya vyeti vya BASHITE na wengine wengi ktk nafasi za kisiasa..Kwa kweli nimeamini Siasa ni Sihasa,walioweka kipengele cha kujua kusoma na kuandika kupewa Wizara walicheza kama Messi..

Tunashukuru kwa kuongozwa na "Wanaojua kusoma na kuandika"..Tumekoma duh..
 
Back
Top Bottom