Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Naomba tuwe wakweli kabisa kwenye kujibu hili swali.
Naomba tuwe wakweli kabisa kwenye kujibu hili swali.
Niko na wewe hapo mambo ya ndoa ni mme na mke tu...haiwahusu wengine oasitaleta,tatizo la ndoa humalizwa na mke na mme tuu na sii mtu mwingine
yes kwani kuna ubaya gani?
siku hizi hamna siri. Yale mambo yaliyokuwa yakifanywa chumbani zamani, siku hizi yanafanywa Kinondoni makaburini.
"Tatizo la ndani kabisa" hebu toa mfano kwanza.Inawezekana unaloona la "ndani" mwenzio anaona la "nje" so mtatofautiana tu hapa na unaweza usipate jibu unalotarajia!