Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
mi nina kimoja. Kila binadamu ana kichwa kimoja. Cha pili kipo wapi?
mafichoni.
mi nina kimoja. Kila binadamu ana kichwa kimoja. Cha pili kipo wapi?
mafichoni.
kiache huko huko.
khaaaah kuna muda kinahitaji kuchangamshwa lol.
hahahahahaha! Umepinda ujue.
yah cha juu kinapinda mana kina shingo.
cha mafichoni kipoje? Describe.
smtym kilaini, smtym kigumu, full time network. Cha juu kiki turn off cha mafichoni kina turn on.
hahahaha! Lol. Ngoja nilale zangu.
aaah sa waniacha na nani lol.
nampigia amyner aje.
Kama mchina na karate??Mimi na hao wadudu...!!
Kama mchina na karate??
ukigoogle ndo nyoka anafanya nin?
i hear You can also google stuff like "Where did i put my keys" if u've lost ur keys instead of looking 4 them