King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,045
Tumia muda huohuo mnaoupataYaani huwezi kuta upo home naye muda wote.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia muda huohuo mnaoupataYaani huwezi kuta upo home naye muda wote.
We unamuona hana huo uhuru mpaka umweke huru?Ndio huwa tunafanya hivo uzungu uzungu maisha yanaenda mkuu. Napenda nimweke huru kwangu. Dawa ya uwazi na ukweli ni uhuru.
Mungu akusamehe kwa maana hujui unaloomba.Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.
Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....
Mkuu kwani nini lakini mnafukuaga makaburi ambayo hayafukuliki 😂😅😅😂😅😂 ndoa ndoano. Eti school fees, bado mama mkwe anaumwa aseeee uzungu bongo unaanza nishinda.Mungu akusamehe kwa maana hujui unaloomba.
Huyo unayemuomba ukimpata iko siku utamzaba makofi, life haiko smooth kiasi hicho kuna siku unavurugwa kwenye mishe zako, unarudi home unakumbushwa ada, hujakaa sawa kijijini wamepiga simu kuna tatizo la kifedha, unakuwa frustrated, umetoka job kuna Office politics zimekuvuruga.
Ufike home mke sijui anakuletea mambo gani wakati wewe unatamani ukae utafakari kidogo, we mkuu tema mate chini nakwambia
Nani kakwambia anahitaji kuwekwa huru awe huru? mbona kama unampa magongo mtu asie na ulemavu?Usipo mweka huru lazima akose uhuru mkuu
Cha ajabu mshamba ndie wife tirio! We pambana na demu wako anayependa kupiga piga picha migahawa ya Masaki
Kaka mi nataka mwenza wangu awe na sifa zote yaani awe fine lady mkuu both wife material na awe slay when it comes to certain vibes.
Ngoja nikupe ushauri kutoka na hili ulilioandika.
1. Punguza au acha vitu vifuatavyo
Kuangalia movie za kikorea
Kupiga PUNYETO.
Baada ya hapo tafuta kazi ya kufanya utanishukuru badae
Hahahah dem ambaye anaziona dagaa kama bangi 🤣🤣🤣Jamaa anataka wale madem wa Cape Town fish Market
Mkishaoana hayo hayapoExtrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.
Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....
Amka wewe kumekucha usije kojoa kitandani.Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.
Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....
Nadhani kijana either tamthilia au imagination zako zisizo za uhalisia zinakusumbua pengine ukikua utamshukuru Mungu ukimpata hata huyo mshamba, maana hapa unavyoongea tu unaonekana wewe ndio mshamba au limbukeni wa either mapenzi au maisha hujayajulia. Ukikua utakuja kujua why Kuna wanawake wao wanapaswa kuwa michepuko tu na hata siku moja hawapaswi kuvuka mstari na kua mke rasmiExtrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.
Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....😋
Alafu demu mshamba ndo advantage ya msela, hawa mademu wa kujifanya wajuaji ni kero...unaweza muachia hela ya mboga ye akanunua wanja, lipstick na wigi ili hali mlitakiwa mle vizuri,Cha ajabu mshamba ndie wife tirio! We pambana na demu wako anayependa kupiga piga picha migahawa ya Masaki
Wewe si unaye jamani? Hutosheki? Tuachie kwa wenzio na weyeAanze kuja kwangu mkuu, raha wa hivyo akupe amani ya nafsi asiwe na mambo mengi tu ile ana mijitu anachat nayo kwa siri yani mjanja mjanja mie huwa siinjoy Yani manjonjo ya kike yawepo wepo ila pia awe mtulivu mdomoni na muaminifu bas burudani! Tone iwe warm with countless smiles aisee naoa hata kesho!
Asikwambie bro, demu mshamba ni mzigo aise..akishakuwa mjanja humpati Tena..Alafu demu mshamba ndo advantage ya msela, hawa mademu wa kujifanya wajuaji ni kero...unaweza muachia hela ya mboga ye akanunua wanja, lipstick na wigi ili hali mlitakiwa mle vizuri,