Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,006
2,000
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....
Mungu akusamehe kwa maana hujui unaloomba.
Huyo unayemuomba ukimpata iko siku utamzaba makofi, life haiko smooth kiasi hicho kuna siku unavurugwa kwenye mishe zako, unarudi home unakumbushwa ada, hujakaa sawa kijijini wamepiga simu kuna tatizo la kifedha, unakuwa frustrated, umetoka job kuna Office politics zimekuvuruga.

Ufike home mke sijui anakuletea mambo gani wakati wewe unatamani ukae utafakari kidogo, we mkuu tema mate chini nakwambia
 
Boss from Street

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
857
1,000

Mkuu kwani nini lakini mnafukuaga makaburi ambayo hayafukuliki 😂😅😅😂😅😂 ndoa ndoano. Eti school fees, bado mama mkwe anaumwa aseeee uzungu bongo unaanza nishinda.
 
Handle

JF-Expert Member
May 12, 2020
206
250
Kaka mi nataka mwenza wangu awe na sifa zote yaani awe fine lady mkuu both wife material na awe slay when it comes to certain vibes.

Mazingira ndio yanakufnya upate mtu wa aina gani itokee tu bahati mfno shule chuo kazini migahawani hotel kama umezoea kuspend maeneo ya kitajiri migahawani na hotel na kazin ni sehem nzur ambayo watu waliopo ni smart bac unaweza kupata mtu wa aina yako ila kama ww mwenyew kula ni mama ntilie nguo maduka ya kawaida vyakula kwa mangi kazini usafiri daladala na mwendokasi halafu upate mtu ambae ana sifa zote uanzozitaka za watoto wa kishua kwa kweli ni kazi sana mazingira mtakayokutana bac yatakupa picha halisi ya mtu unataka awe

Rich person pia from rich family
Educated one
Family oriented
Beautiful one
Smart
Awe amezoea kuish bei za vyakula
Masaki kwenye mall supermarket private fares
Intelligent
Mwenye uezo wa kutambua na kuelewa situation kwa kukusoma tu hali yako

Ni ngumu hivo vitu vinategemea na ubongo wa mtu mazingira aliokulia na kukutana nae wapi vipi huezi kupata never kama na ww huna sifa zinazoendana
 
Pablo Jr

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
515
1,000
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....
Mkishaoana hayo hayapo
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
70,136
2,000
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....
Amka wewe kumekucha usije kojoa kitandani.
 
Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
52
150
Nadh
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....😋
Nadhani kijana either tamthilia au imagination zako zisizo za uhalisia zinakusumbua pengine ukikua utamshukuru Mungu ukimpata hata huyo mshamba, maana hapa unavyoongea tu unaonekana wewe ndio mshamba au limbukeni wa either mapenzi au maisha hujayajulia. Ukikua utakuja kujua why Kuna wanawake wao wanapaswa kuwa michepuko tu na hata siku moja hawapaswi kuvuka mstari na kua mke rasmi
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
2,590
2,000
Aanze kuja kwangu mkuu, raha wa hivyo akupe amani ya nafsi asiwe na mambo mengi tu ile ana mijitu anachat nayo kwa siri yani mjanja mjanja mie huwa siinjoy Yani manjonjo ya kike yawepo wepo ila pia awe mtulivu mdomoni na muaminifu bas burudani! Tone iwe warm with countless smiles aisee naoa hata kesho!
Wewe si unaye jamani? Hutosheki? Tuachie kwa wenzio na weye
 
Cc Pinye

Senior Member
May 31, 2021
158
250
Mimi mwanamke wangu Ana tabia zote hizo ulizoandika, hahahaha aise ni fully burudani wakuu.

Mtoa mada waeleze vijana ukipata girl Kama huyo aise utaenjoy life Sana. Uzuri Zaid kanizalia ka girl kazuri Kama yeye .. next week atatua hapa Hougang, Singapore kula maisha na baba la baba hahaha
#Singapore
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom