Ukiwa na moyo dhaifu usifungue ni ajari mbaya boda boda

Ni mara ngapi ulishawaona wanasubiri taa ama uongozi wa trafiki? Wao na abiria wao haraka mtindo mmoja.
trafiki wanaingiaje lawamani hp, ni mara ngapi we na gari lk umewahi kufuata amri ya kuendesha spidi 50, ukikamatwa na polisi unaliaaaa hadi anapokea soda yako, akikukomalia utamlaani ukoo wake wt. fuata sheria uone ajali ngapi zitatokea
 
Hawa sio wale majambazi waliogongwa na gari makusudi iliwasikimbe ? just out of curiosity?
 
Back
Top Bottom