Ukiwa na mfugo kama huu, huwezi kuhisi UPWEKE sebuleni...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
5226870_5218981178628652718142898958356390456112603887509njpegbd411d3fa7aa2e0161e2d5601e69e0e8_jpeg_jpeg62e7ed963f5533138a4e44f00f1a545f
 
Ukifuatilia asili yao utakuta mama zao walipata shida ya uzazi na ilibidi waende kwa witch doctors(by the way sorcery ipo hata huko mbele), ndipo wao wakazaliwa, kwa hiyo wanaweza kuelewana na viumbe kama hao kwa urahisi sana, iga na wewe kukaa na dude hilo uone kama hukujikuta tumboni mwake!huyo sio nyoka ni lucifer kabisa, hiyo size !
 
Mkuu haya madude yahana shida uoga wetu tu. :D:D:D, INABIDI Uwe unafuatilia njaa yake kwa karibu lisije kukumbuka porini likafanya yake...
 
Back
Top Bottom