Ukiwa na majipu dawa sio kutumbuliwa tu bali kusafisha mfumo wa damu yote (tanzania)

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,712
kipindi cha mwendazake kulikuwa na kauli ya kutumbua majipu?.
ila walishindwa kuelewa majipu usababishwa na mfumo mzimo wa damu chafu.

damu chafu iliyoko tanzania ndio uzalisha majipu.

IMG_1701.jpg


tanzania inatakiwa kusafisha damu yenye chanzo cha majipu.

na damu hii bado hipo na uzalisha majipu
 
Ondoa takataka inaitwa CCM.Dokta ni mwananchi mpenda haki.Mihunimihuni na mijizi ya haki na demokrasia (mijizi ya kura) itafutiwe dawa kali ya kuidhibiti ikafie mbali.
 
Back
Top Bottom