Ukiwa na hela basi unaweza kumpata mke wa aina yoyote bila tatizo

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Nionavyo mimi ukiwa na fedha basi unaweza ukampata mwanamke yoyote hata kama utakuwa na sura mbaya.Hii hupelekea wanaume wengi kufanya kazi kwa bidii.Pia ukiwa na hela mwanamke anakuwa na unyenyekevu wa hali ya juu katika familia.

Hata kama humfikishi kisawasawa yuko tayari kuvumilia ilimradi apate fedha.

Hivyo Vijana tafuteni hela kwanza ndiyo mwisho wa matatizo ktk ndoa.
 
you are genius man
 
Ni kweli ila kama huyu 'mke' unazungumzia NDOA tena NDOA takatifu kwa namna hiyo chamoto utakiona
 
Nionavyo mimi ukiwa na fedha basi unaweza ukampata mwanamke yoyote hata kama utakuwa na sura mbaya.Hii hupelekea wanaume wengi kufanya kazi kwa bidii.Pia ukiwa na hela mwanamke anakuwa na unyenyekevu wa hali ya juu katika familia.

Hata kama humfikishi kisawasawa yuko tayari kuvumilia ilimradi apate fedha.

Hivyo Vijana tafuteni hela kwanza ndiyo mwisho wa matatizo ktk ndoa.

ulisoma chuo gani vile????
 
Yes hata kama humfikishi atavumilia... lakini jua UTAMEGEWA TU... Hujiulizi kwa nini shamba boi wanawamega sana wake za wenye hela? au visichana vya uswazi vinawakata sana vigogo walioowa wenye hela?
 
Nionavyo mimi ukiwa na fedha basi unaweza ukampata mwanamke yoyote hata kama utakuwa na sura mbaya.Hii hupelekea wanaume wengi kufanya kazi kwa bidii.Pia ukiwa na hela mwanamke anakuwa na unyenyekevu wa hali ya juu katika familia.

Hata kama humfikishi kisawasawa yuko tayari kuvumilia ilimradi apate fedha.

Hivyo Vijana tafuteni hela kwanza ndiyo mwisho wa matatizo ktk ndoa.
hujiamini wewe au huna nguvu za kushawishi! fedha tunatakiwa tuwe nazo ili kupata mahitaji ya msingi sio kutafutia wanawake,nadhani wewe unataka potosha jamii ilituone fedha ndio mwisho na matatizo
 
Nataka utafute hela kwa sababu sifa ya mwanaume ni kuwa na fedha za kutosha zinazopatikana kihalali.Pia nataka kuelimisha jamii kwamba mwanaume anatakiwa kuoa na siyo kuolewa kama wengine wanavyofanya.Siku hizi baadhi ya wanaume badadala ya kufanya kazi ili wapate fedha basi wao wananyemelea wanawake walio na mafanikio ili waolewe.Nashangaa mwanaume kutetea uvivu fanya kazi upate fedha hutapata shida ktk ndoa yako hata gemu utakuwa unapiga vizuri maana hela ya kukuwezesha kimaisha unayo labda ukubali kushindwa mwenyewe.
 
mamburula mmekutana mnafarijiana hahahahaahahah

Hakuna mwanamke mwenye ujasili mbele ya fedha cheki wazee wenye nazo wanavyotafuna vijana wabichi kiulaini.Labda roho mtakatifu awe ameambatana na msichana husika lakini kwa dada zetu wa leo mtu yuko tayari akaambukizwe hata HIV kwa sababu ya fedha hata wanawake wengi huchagua mume anayejitambua yaani anayeweza kutafuta hela kwa ajili ya familia yake.Ukiona mke amekupenda ili umuoe baadaye wengi wao wanakuwa wamevutiwa na future yako ambayo ni hela kwa mtazamo wao.
 
ulisoma chuo gani vile????

Nimesoma chuo kikuu chenye ubora kuliko vyote Tanzania na ninajiamini kupindukia tafuta hela ili maisha ya familia yako yakunyookee.Vijana wanaojitambua huitafuta kwanza fedha halafu suala la mke linakuja baadaye.
 
mbona mie sina pesa, ila mambo safi tu.... Jiamini kwa power ya asiri uliyo nayo...

Ukianza kusomesha watoto utakubaliana nami maana naona bado hujakomaa kisawasawa.Kwani inategemeana pia na hayo mambo safi unayozungumzia hata ndugu zetu wengi ambao wanazaa watoto nakusema kila mtoto ana Riziki yake hujigamba na kusema mambo yao ni safi.Tafuta hela acha ubw.ge ohoo shauri yako usije ukasema sijakuambia.
 
pamoja na ukweli kuwa binadamu tunatofautiana uwezo wa kufikiri na kutenda, lakini nadhani wengine wapo tofauti sana na wengine...!

Na ndio maana kuna wengine ni matajiri na wengine ni masikini.Wengine ni wasomi lakini hawana fedha na wengi ni wasomi halafu wana fedha ila wengine hawajasoma ila wanafedha pia, wengine hawajasoma halafu hawana fedha kabisa.Wengine wanaoa wake wengi kama Sauli na Daudi waliobarikiwa na Mungu na wengine wanaoa mke mmoja kama Adamu.
 
Nimesoma chuo kikuu chenye ubora kuliko vyote Tanzania na ninajiamini kupindukia tafuta hela ili maisha ya familia yako yakunyookee.Vijana wanaojitambua huitafuta kwanza fedha halafu suala la mke linakuja baadaye.

Chuo gani ndo ukitaje!!!!!!!

isije ikawa Global pubishers College.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom