Ukiwa na GPA kubwa,, Huwezi kosa kazi ya kile ulichosomea ,naamini hvyo..

GPA labda kama unataka kuwa Academician au kama umesoma Bachelor za ualimu hivi huko sawa.

Ila huku kwingine sijui Law, Account, Procurement, Social work etc etc ukienda hasa sekta binafsi hiyo GPA baki nayo tu kwenu.

Kwa nature ya elimu yetu GPA kubwa huwa wanakuwa ni watu wakujipendekeza pendekeza kwa walimu

Sasa mtu Olevel ana Three ya 23 unaangalia vyeti Advance ana three napo then BOOOM chuo ana 4.3 GPA unamuita interview unabaki msikiliza sikiliza then unamkata juu kwa juu (thats reality)
 
Kijana watu tuna GPA Kubwa lakini yupo Mtaani ,Labda kuhusu maswala ya Kuwa Mdhari (lecturer) huko ndio wana angalia GPA ila kwingine hawangilii GPA has a serikalini ,Vitu wanavyoangalia sana Ni uzoefu (experience) ,Unajua Nani anakujua Nani (channel yako)/PESA
 
GPA labda kama unataka kuwa Academician au kama umesoma Bachelor za ualimu hivi huko sawa.

Ila huku kwingine sijui Law, Account, Procurement, Social work etc etc ukienda hasa sekta binafsi hiyo GPA baki nayo tu kwenu.

Kwa nature ya elimu yetu GPA kubwa huwa wanakuwa ni watu wakujipendekeza pendekeza kwa walimu

Sasa mtu Olevel ana Three ya 23 unaangalia vyeti Advance ana three napo then BOOOM chuo ana 4.3 GPA unamuita interview unabaki msikiliza sikiliza then unamkata juu kwa juu (thats reality)
Huu mtazamo cyo sahihi. Point yako ilikua ni nzur lkn case-study uloitumia ni yaki weak! Educational background ya mtu haiwez kumzuia kupiga GPA kubwa chuo...do ur homework mkuu...au njoo DIT angalia intake ya mwaka 2013/2014 (wale walomaliza o level mwaka 2012) kisha angalia wana division ngapi-ngapi on average. Fanya ka simple research then njoo hapa uongee pumba tna...ntakupa zawadi
 
Narudia kakitu kadogo 'mfumo wa elimu yetu' alafu nikwambie kitu mtu mwenye alili ya sarasani hapimwi kwa ufaulu wa chuo hasa hapa Tz bali kwa ufaulu wa sekondari hasa olevel

Utaniuliza juu ya ma T.O mbona wanapotezwa chuo hii ni kutokana na 'mfumo wa elimu' ila hao jamaa watabaki kuwa na akili za darasani hata kama ukimpita gpa chuo
 
Meku nyakati zimebadilika sana. Makampuni sikuiz wanachofanya ni unabanwa kwenye interview na experience. Mambo ya kuamin gpa kubwa sikuiz yamepungua mzeya.
Mtu kasoma form one,two,three,four kamaliza kaenda pre-form five, July kaanza form five baadae form six, kamaliza form six naenda jkt karudi mwenzi mmoja baadae chuo, akimaliza hiyo experience ataizalia wapi? field labda.

I stand to be corrected.
 
Narudia kakitu kadogo 'mfumo wa elimu yetu' alafu nikwambie kitu mtu mwenye alili ya sarasani hapimwi kwa ufaulu wa chuo hasa hapa Tz bali kwa ufaulu wa sekondari hasa olevel

Utaniuliza juu ya ma T.O mbona wanapotezwa chuo hii ni kutokana na 'mfumo wa elimu' ila hao jamaa watabaki kuwa na akili za darasani hata kama ukimpita gpa chuo
Did you fact-check anything before your opinion?! Mimi nimechukua sample ya DIT/O'LEVEL STUDENTS/2012/FROM AZANIA SECONDARY SCHOOL, kuna madogo (cyo chini ya wanne) walijiunga na DIT baada ya matokeo yao ya awali ya form 4 kusoma IV Points 28, 27, 32 na 26 respectively. Baada ya sekeseke, second version ya matokeo wakapata III yenye points za mkia. Hawahawa ndo wamepata gpa zilizowashawishi TTCL, COCA KWANZA, TOYOTA (TZ) na CASPIAN CONSTRUCTORS (T) LTD kuja kuwapa offer ya kujiunga nao after graduation ya Diploma zao.

Pamoja na ukwel kwamba overall edu system yetu siyo nzur (sio ya elimu ya juu tu, bali hata huku chini!) laini bado hujaziona changamoto za kuvuja kwa mitihani kwny ahule za sec...au hujakutana na Division I ya points 9 (single digit) ameenda kuitumikia Div III form 6?! (Hizi ni changamoto zinazohitaji Research ya kwelkwel cyo maoni ya mtu yatoe conclusion
 
Back
Top Bottom