Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,375
Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi.

Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri, gari zuri na anakula na kulala pazuri mwanamke gani asie penda pesa yuko wapi.

We jidai msingi kiuno wakati malikauli utapigiwa tu.
 
Kupigiwa hakuna formular unaweza kuwa na vyoote halafu akagongwa ma mpaka kucha rangi.

Simple as that. Oa mwanamke mwenye hofu ya mungu baaas.
 
Una vyote hivyo, mtoto wa watu anakupenda ila wewe sasa uko busy kuendelea kuzitafuta chapaa huku ukipenda kazi yako. Bro utapigiwa na Mlinzi, mpaka kucha, Boda au Fundi garage.

Huu mchezo hauna formula.
 
Haswaaaaaaaaah dea kabisaaaah, mapenzi hayana formula.
 
Pesa,gari,nyumba, mwanamke vyote hivi ni vtu vya kuvitafuta coz vinategemeana
 
Una vyote hivyo, mtoto wa watu anakupenda ila wewe sasa uko busy kuendelea kuzitafuta chapaa huku ukipenda kazi yako. Bro utapigiwa na Mlinzi, mpaka kucha, Boda au Fundi garage.

Huu mchezo hauna formula.
Formula ipo sema watu hatutaki kuitumia. Tumia hela kupata pisi kali ila tambua ni wako wakati unagegeda tuu.
Huwezi linda mtu anayetembea na mgodi katikati ya mapaja yake
 
Una vyote hivyo, mtoto wa watu anakupenda ila wewe sasa uko busy kuendelea kuzitafuta chapaa huku ukipenda kazi yako. Bro utapigiwa na Mlinzi, mpaka kucha, Boda au Fundi garage.

Huu mchezo hauna formula.
Wale wanaoa ili mwanamke awapende asichepuke ndo watafeli

Wengine tutaoa tupate mtoto kwa njia ya halali tukipendwa sawa tusipopendwa na tukagongewa pia sawa

Tutaendelea kuzisaka
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom