Ukiwa na mwanamke 'mkali' hata wanawake wengine watapenda uwe nao kimapenzi

mind ur business

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
416
414
Heshima kwenu wakuu.

Utafiti umedhihirisha kwamba mwanaume akiwa na mpenzi mrembo, basi wanawake wengine humwona kuwa mzuri au ana mvuto zaidi. Utafiti ulifanyika katika awamu tatu;

Kwanza, Wanawake 148 walionyeshwa picha ya mwanaume wakaambiwa waeleze kama (a)Hana mvuto/sio mzuri kabisa (b)ana mvuto/mzuri wa wastan na (c)ana mvuto sana/mzuri sana. Katika kundi hili wanawake wote walisema huyo mwanaume ana mvuto wa wastan au ni mzuri kiasi.

Kundi lingine la wanawake 97 walionyeshwa picha ya huyo mwanaume, lakini pembeni yake akiwa na mwanamke mrembo. Wakaambiwa kuwa huyo ni Dada au Shangazi yake. Sasa wakaambiwa waelezee mvuto/uzuri wa huyo njemba. Kundi hili pia walisema kuwa jamaa ana mvuto wa kawaida tu.

Kundi la mwisho lilihusisha wanawake 127. Walionyeshwa ile ile picha ya mwanaume akiwa na mwanamke mrembo. Lakini safari hii waliambiwa huyo mrembo ni MPENZI wake. Waliambiwa waelezee jamaa ana mvuto/mzuri kiasi gani. HAWA WANAWAKE WOTE WALISEMA HUYO MWANAUME ANA MVUTO SANA/MZURI SANA.

Sababu walizotoa ni kuwa huyo mwanaume atakuwa na akili sana, mwaminifu, mcheshi, tajiri na msikivu.

Watafiti walihitimisha kuwa, wanawake wanaamini kwamba mpaka kufikia mwanaume ammiliki mwanamke mrembo, ni lazima atakuwa "Smart"

So, - Men look better when they're a proven commodity.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi mimi niko tofauti, nikiona mtu ana mwanamke au aliwahi kuwa na mwanamke mzuri sana nikijilinganisha silingani nae hata kwa asilimia 20 akija kwangu naona ananisanifu au anataka apate papuchi tu asepe lakini nikiangalia historia yake nikaona huwa anakuwa na wanawake wa kawaida tu napata imani kuwa na mimi huenda ananipenda kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa upo single mara nyingi ukitongoza hukubaliwi.
Hakuna mwanamke anaetaka kuwa experimental rate
Wanaume tunapenda wanawake wasiotumika sana au mabikra lkn wanawake wao wanataka mwanaume expert wa mambo sio wakwenda kujifunzia kwake
Ndio maana wanaume masingle kukubaliwa inakua ngumu coz no proval kama anajua anachoenda kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa sisi Wawindaje tunasema "nguruwe pita Leo sina mshale"! Umewinda kutwa nzima, umebahatisha simbilisi tu, mishale yote imeisha, umejichokea zako unataka kupumzika ule " kasimbilisi" kako kwa amani, Mara paaap! Nguruwe pori wamenonaaaa, ndio wanajipitisha sasa! Mkuki wala mshale vyote huna! U
Dah
Ukiwa upo single mara nyingi ukitongoza hukubaliwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwai mcheat shemej yenu enz hzo chuo,akafaham na uthibitisho juu,ila hyo pini niliyocheat nayo ilikua ni kisu mara5 yake,

Alinambia na kwa taarifa yako sikuachi,kama umecheat makusud nijue nikuache sikuachi ngooo nkasema dah


Goite
 
Back
Top Bottom