Ukiwa na Certificate ya ICT, Unaweza kusoma diploma ya Account?

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Sorry wakuu nimeulizwa swali nikashindwa kulijibu ......eti unaeza ukasoma certificate ya ICT then diploma ukahamia accountancy????
 
Inawezekana mkuu ila hiyo inaitwa kuruka ukuta!.....inawezekana baada ya kusoma post graduate ya accounts
 
..kama unaweza kutoboa mtu macho na ukaachiwa Huru,hakuna kinachoshindikana nchi hii
 
Inawezekana jamani kuna ndugu yangu tena yeye katoka records na kahamia accounts procedures zinafwatwa tu chuoni,
 
Kuhamia kivipi!

Certificate ni mwaka 1,unamaliza unapewa cheti chako!

Diploma utajua mwenyewe ukitaka kuendelea na kozi hiyo , au kubadirisha ukaanza kozi nyingine ni wewe tu!

Ukienda degree hivohivo
 
Inawezekana kwa baadhi ya koz znaozendana kwasababu moja kati ya wadogo zangu alisoma human resource certificate then akahamia law kwa diploma till bachelor.... So jarbu huenda ikawa zali
 
Kwasababu yeye alitaka asome accountancy lakin mtu aliyemfanyia application akakosea first priority akaeka ICT akachaguliwa hiohio juz karipoti chuon anaambiwa asubirie kama nacte watatoa muongozo wowote kuhusu kubadil coz poa
 
Back
Top Bottom