Ukiwa Mzee na UKAWA Mwongo unachukiza sana

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
453
Ukiwa mtu mzima na mvi ukianza kusema uongo huwa unachukiza sana.

Ilo nimelidhiirisha baada ya Mkuchika kuanza kuchangia bungeni na kusema uongo mwanzo mpaka mwisho.

Eti"Katibu mkuu kiongozi hakusafisha watu..Dah kitu dunia imeshudia huyu babu anadanganya wajukuu aibu!
 
Huyu sijui kama Atarudi! Kwanza ni mmoja wa ile mizigo iliyotajwa na Katibu wao.
 
binafsi namuona kama amechanganyikiwa na hii kwa ujumla ndio taswira ya wabunge wote wa ccm:sad:
 
binafsi namuona kama amechanganyikiwa na hii kwa ujumla ndio taswira ya wabunge wote wa ccm:sad:

Huyu mzee ni hasara kubwa kwa taifa letu
Tokomeza Maswi wamesafiswa na katibu mkuu kiongozi
Na umma wote wawatanzania umeshuudia huyu mzee anakuja kusema hawajawahi kusafishwa
Aibu tu Hivi ukiwa Ccm lazima uwe mwongo mwongo?maana naona kwao ni kama sera sasa hv
 
Back
Top Bottom