Ukiwa mdadisi usiangalie taarifa za habari kupitia TV za Tanzania

Sihitaji kukaa darasani kusomea uandishi wa habari, kama najua kusoma na kuandika
 
Kama kuna sehemu ina walakini kwa waandishi wetu, basi ni namna ya kuuliza maswali. Binafsi namkubali sana Haniu (TBC) kwa uwezo mkubwa wa kuhoji maswali yenye mantiki kwa wageni mbali mbali wanaowatembelea. Kichefuchefu kingine ni mwanadada wa michezo TBC-somebody Jane, naye anauliza maswali ya ajabu ajabu sana. Kuweza kuuliza maswali yenye mantiki hakuji hivi hivi tu, kunakuja kwa kujisomea, kufanya mijadala, na hata kuangalia mahojiano ya wengine.
 
Anaitwa Jane John. Huyo sidhani hata kama ana cheti cha uandishi. Kwa TBC kuna Haniu, Elisha. Marini mzuri ila ana ushabiki. Anauliza huku akiwa na jibu mwenyewe. ITV namkubali masako. Mliona yale mahojiano ya pendaeli na thomas mlambo wa Supersport wakati wa kombe la Kagame? Ilikuwa kichefuchefu. Utadhani yule mwl wa hakielimu anayefundisha somo ambalo si taaluma yake
 
Back
Top Bottom