Ukiwa kwenye hii situation utafanya nini?

NicknameJr

New Member
Jul 14, 2016
1
5
Upo club kidogo kidogo pale club unadance solo...Mara gafla kademu kanakusogelea kukutabasamia.... Unaanza kushukuru sir God umepata wa kucheza nae....mnacheza Kaka 30 minute then kanakunongoneza kwa skio yako "ni-Recharge elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende na wewe leo mwanaume huna pesa kwa mpesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila... After 2mins kanarudi na power bank
 
sasa hizo hela ungekuwa nazo mfukoni angempelekeaje mama yake? Tuanzie hapo kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom