Ukiwa jirani na Mpenzi wako halafu ghafla tu akapigiwa Simu na ukayaona na kuyasikia haya jua aliyempigia ni ' Hawara ' yake mkubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Ukiona anapigiwa tu Simu ukiwa nae halafa anaonyesha Kushtuka, Kutetemeka huku macho yake yakiwa hayatulii na kuna muda anajichekesha chekesha au anaanzisha Mada zisizo na Miguu wala Kichwa halafu akiwa anaongea na hiyo Simu ukayasikia maneno kama....sikusikii vizuri....wewe nani?.....naaam.....ndiyo....ndiyo....weka Simu yako vizuri napata taabu Kukusikia....hawajambo tu.....sawa....hapa unatakiwa ujue ya kwamba aliyempigia hiyo Simu ni Msaidizi wako ama katika Mbunye na Demu wako au Mkuyenge wa Bwana wako.

Kaeni chonjo!

Nawasilisha.
 
Huo ndiyo ukweli haswaaa.

Kama njemba hiyo hapo inavizia kuingia ndani
IMG-20190422-WA0024.jpeg
 
Aisifiaye mvua imemnyea! vipi mkuu yamekukuta haya ukaamua utupe Tahadhari?

Kwani Mtu ambaye huwa anawaonya Watu kuhusu Kujikinga / Kujihadhari na Ugonjwa hatari wa UKIMWI ni lazima nae awe ameshaathirika nao Yeye kama Yeye? Acha Kunilazimisha nianze Kukudharau / Kukupuuza Mkuu sawa?
 
Back
Top Bottom