Ukiwa it member inakuhusu sana

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,935
1,043
Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu
 
Kama Driver za VGA ebu soma ID ya cmp yako then ingiza kwenye gugo upate driver husika.
 
mkuu hebu jalibu kwanza kufanya updates za driver za mashine yako ndio uendelee na kudown loading hiyo unayotaka sawa mkuu
 
Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu

kama ni vga drivers jaribu ku update drivers zitakuja automatically, ikishindikana, jaribu ku search google hizo driver unazotaka, mf: "windows 7 hp c530 vga drivers download" ukishindwa taja unatumia kifaa gani utapewa download link hapahapa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom