mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver?
Nadhani anamaanisha AVG anti virus ameenda kinyumenyume!
Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu
Jamani mimi mbavu zangu pls nawaombeni mpunguze maana nimecheka hadi watu wananishangaa!!!mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver?
Mkuu huu uzi na heading hii!!Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu