Ukiwa Dikteta huwezi kutambua wala hutapenda kusikia kuwa CAG/NAOT ni muhimili wa nne

X-bar

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
680
1,000
Salaam wana JF.

Kabla ya yote ningependa kuweka wazi kuwa mimi si mwanasheria bali ni "sayansi ya mambo ya uhai" (life sciences) kwahiyo sitaweza kunukuu vifungu vya sheria/katiba wala sherehe zake. Kwa maana hiyo basi, niko tayari kurekebishwa na pia natanguliza kuomba msamaha pale nitakapokosea.

Msingi wa mada yangu ni kauli za Rais Magufuli kwa CAG mpya katika hafla ya kumwapisha; alimuonya kuwa asidhani kuwa cheo hicho ni muhimili mungine wa dola kama ilivyo Rais, Spika au Jaji Mkuu. Bali alisisitiza kuwa CAG ni mdhibiti na mkaguzi tu wa matumizi ya fedha za serikali na mwenye serikali (anayetoa hizo fedha) yupo.

Kwa kauli hizi mbili tunapata picha kwamba CAG hasifanye makosa kwa kufanya ukaguzi bila maelekezo kutoka kwa "mwenye fedha zake" na kutuhumu au kuilamu serikali kuhusika na mapungufu yoyote atakayoyabaini katika ukaguzi wake. CAG akifanya hivyo itakuwa ni sawa na kujiona kuwa yeye ni muhimili wenye mamlaka ya kuituhumu mihimili mingine bali anachotakiwa ni kufanya ukaguzi wake kwa mujibu na maelekezo ya Rais au Spika na sio vinginevyo. Na CAG akikiuka maelekezo anaweza kung'olewa hata kabla ya kumaliza "fixed term of five year" kwa mujibu wa sheria.

Kwa mtazamo mungine Rais anamaanisha kuwa CAG hana kinga, mamlaka wala uhuru wa kutekeleza majukumu yake atakavyo labda kwavile mwenye hizo fedha sio yeye CAG bali ni Serikali na kwahiyo serikali tu ndo inaweza kuamua kufanyike ukaguzi au la.

Kwa maoni yangu, mtazamo huu wa Rais juu ya mamlaka, kinga na uhuru wa CAG hata kama vimeandikwa kwenye sheria si lolote si chochote mbele yake. Lakini anaposisitiza kwamba CAG si muhimili maana yake hatambui mamlaka, kinga wala uhuru alivyotunukiwa CAG kwa mujibu wa sheria. Kiufupi Rais anavunja sheria na katiba bali anajiona yeye yuko juu ya hivyo na huku ndo ile kujimwambafai aliosema JK.

Ingawa sijawahi kumsikia CAG Uttoh wala Assad akijinasibisha kuwa wao ni muhimili mungine, dhana hii ya CAG/NAOT kuwa muhimili nimeisikia mara nyingi ikiongelewa katika serikali za awamu zilizopita. Awamu hizo ndizo zilizoilea dhana hii. Lakini yatupasa tujiulize kwanini serikali za awamu zilizotangulia zilikuza dhana kwamba CAG/NAOT ni sawa na muhimili wa serikali? Kadhalika yatupasa tuelewe kwanini serikali ya awamu hii haitaki kusikia dhana hii?

Jibu ni moja tu; Serikali za awamu zilizopita zilikuwa zinaendasha nchi kwa kufuata utawala wa sheria. Marais waliopita walitambua mamlaka, kinga na uhuru wa CAG katika kutekeleza majukumu yake. Ukweli ni kwamba katika kumtukuza CAG kuna mantiki kubwa ndani yake ambayo Rais Magufulj haitambui aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Ingawa ni kweli kwamba Rais ndiye anayeteua CAG na kwamba anaweza kufanya uteuzi huo kwa muda wa kufumba na kumbua jicho (hakuna masharti magumu), bado kutengua uteuzi wake ni "shughuli pevu" kwa mtu anayeheshimu sheria na katiba ya nchi. Kutengua uteuzi wa CAG sio sawa kutengua Waziri, RC au Mkurugenzi wa taasis ya Serikali.

Mathalani, sheria inapoweka sharti kwa Rais kupata mwafaka/ridhaa ya Jumuia ya Madola kufanya uchunguzi (investigation) ndipo atengue aliyemteua maana yake CAG sio cheo chepesi kama Magufuli anavyochukulia. Lakini hii ndo mantiki au msingi wa kuheshimika kwa CAG hadi akaonekana kuwa ni muhimili mungine. Ni dikteta tu ndo asiyeweza kutambua na kuzuia Dhana ya CAG/NAOT kuwa ni Muhimili.

Asanteni.
 

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,265
2,000
Niliposoma hii sentensi yako nikajua ninasoma andiko la vijana wa dot.com ambao hawajui hata historia ya Tanzania!

Umeandika, ''Jibu ni moja tu; serikali za awamu zilizopita zilikuwa zinaendasha nchi kwa kufuata utawala wa sheria''.
 

Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,128
2,000
Tanzania kuna mihimili mitatu TU.
Hizo ngonjera za mhimili wa nne kamdanganye bibi yako Faustina Mwakifyole wa huko Makongorosi Chunya.
 

X-bar

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
680
1,000
Tanzania kuna mihimili mitatu TU.
Hizo ngonjera za mhimili wa nne kamdanganye bibi yako Faustina Mwakifyole wa huko Makongorosi Chunya.
Hakuna ulichopatia kuhusu jina la bibi yangu wala anakotokea. Ila nimependa sana jinsi ulivyonichamba, nimecheka sana! Eti "Faustina Mwakifyole wa Makongorosi Chunya" 😂😂😂
 

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,196
2,000
Siyo unajenga nyumba moja Unamtangazia kila mtu kwamba umejenga, huna tofauti na kuku. Kuku kutaga yai moja anautangazia ulimwengu mzima na wakati ng'ombe anayetoa maziwa na kunywesha kijiji kizima hapigi kelele.
 

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
971
1,000
Ukiwa dikteta huoni shida yoyote kuwafutia majina wagombea wa chama pinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,424
2,000
Still they are bright surpassing the black homosapiens sapiens.
Rascal boy you seem to be stupid, Aren't you?
Muwafundishe kutumia pedi dada zenu,maana 70% hawana access ya pads wakiwa kwny siku zao.

No wonder wahindi ni wachafu.
 

Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,128
2,000
Muwafundishe kutumia pedi dada zenu,maana 70% hawana access ya pads wakiwa kwny siku zao.

No wonder wahindi ni wachafu.
Mara yako ya mwisho kufika India ilikuwa mwaka gani?
Sababu unaongelea mambo ya 1990,s and early 2000's.
Kuhusu uchafu naomba kujua unawalinganisha Wahindi na jamii gani hadi useme ni wachafu?
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,424
2,000
Daah kumbe ni 82% ya wanawake wa india hawajui pedi ni nini na ni mwaka 2018 hio.

Aibu sana,mnajisitiri vipi?

“Only 18% women in India have access to sanitary hygiene in India”

By -

TNN

Pragya Sood

Jul 11, 2018, 16:08 IST

In the past five years, India has seen an array of movements aiming to educate women about menstrual hygiene and sanitation. The taboo associated with menstruation outnumbers the women who have to go through this process every month. From not touching the pickle, not stepping in the temple to not entering the kitchen area, India has menstruation taboos and beliefs which have almost crippled its women with chronic reproductory infections. The taboos are not only limited to rural but even urban areas. Therefore, the need to talk and educate in favour of menstruation hygiene practices is extremely necessary at a time like this.

12-year-old Bholi’s uterus was removed because she had contracted a reproductive tract infection. Bholi hails from a small village in Madhya Pradesh and represents a large population of Indian women who suffer at the hands of illiteracy. Just like Bholi, millions of women in India fall prey to low standards of sanitation and menstrual hygiene. A story like Bholi’s prompted social entrepreneur, Amar Tulsiyan to start the NIINE movement.

“When I heard Bholi’s story, I was devastated and shocked. It was an eye-opener for me,” shares Amar. Menstrual hygiene and sanitation is a much talked about topic today, unfortunately only in the urban areas where education is prevalent. The movement aims to educate women and men in rural areas.
Their initiative includes distribution of free sanitary napkins, workshops on how to make a sanitary napkin, enrolling women to run their sanitary napkin factory, run seminars and classes on menstruation hygiene for both girls and boys and defying menstruation taboos through involving middle-aged men and women in the menstruation hygiene drive. In their conclave held in May, NIINE also felicitated nine independent sanitary napkin entrepreneurs in the country who have been working in this direction.

As much as 82 of percent women in India still do not know what a sanitary napkin is or what it is used for - an alarming statistic but an even tougher number to counter. For Amar, being able to tackle this issue with cheap, eco-friendly sanitary napkins is still a distant dream. Currently, his company sells a sanitary napkin for Rs. 4 per pad. A typical large pad in the market place is anywhere between Rs. 8-10. The brand also gives a disposable bag with the pad, a step towards saving the environment. This is because most women still feel ashamed to throw the pad in the garbage packed in a newspaper and would rather flush it down, harming the environment even more.

Data states that a single woman can generate up to 125 kilograms of non-biodegradable waste during her menstrual years. This means the use of sanitary napkins, tampons or even the newly introduced menstrual cups. Further, studies suggest that one sanitary napkin can take at least 500 to 800 years to decompose due to the plastic content in it. Plastic is highly non-biodegradable and can hence lead to health and environment hazards.

“Biodegradable material for sanitary napkins is extremely costly in the market today. To make cheap pads with them is almost impossible. How we have tried to balance it out is by using only 15-20 percent plastic in the sanitary napkin,” replied Amar on being asked about maintaining eco-friendly environment and menstrual hygiene. The biggest issue continues to be of menstrual waste management. With millions of napkins being disposed off every day, the question of a biodegradable pad certainly needs to be addressed.

In order to ensure that there is a strong medical prominence behind the cause, NIINE collaborated with FOGSI, The Federation of Obstetric and Gynaecological Societies of India to back menstrual hygiene and sanitation. Amar also specified that Dr. Jaydeep Malhotra, president, FOGSI, has advocated NIINE’s philosophy in spreading awareness about this global issue.
The current state of menstrual hygiene and sanitation in India is in a pathetic state. As per records, if only 18% women know how to use a sanitary napkin, the unrecorded number would be far lesser than this. “In our research, we found that women did not even know that they were not supposed to wear a sanitary napkin for more than 6-8 hours. Some of them wear it for 12-14 hours a day, making them prone to bacterial infection,” says Amar.

“We wish to educate women, empower by employing them and enhance India’s sanitation sector with premium menstruation products,” says Amar. The NIINE movement also saw celebrities such as Akshay Kumar and Shabana Azmi backing it.


Mara yako ya mwisho kufika India ilikuwa mwaka gani?
Sababu unaongelea mambo ya 1990,s and early 2000's.
Kuhusu uchafu naomba kujua unawalinganisha Wahindi na jamii gani hadi useme ni wachafu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom