Ukiwa CCM una uwezo kuongea lolote au kufanya lolote na bila kubugudhiwa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,709
Ni bora kusema ukweli kuliko kuacha uongo ambao ukaja kutesa kweli.

Hivi kama mchungaji Gwajima anaweza kubisha chanjo na tena kupinga kwa mada zake! Sijaona chombo cha dola kuchukua jukumu la kumshitaki kuwa anapotosha wananchi.

Ingekuwa mtu baki au aliye chama tofauti! Leo angekuwa jela kwa kesi ambazo sijui!

Kwa nini CCM watu wao wanapofanya mambo ya ajabu hivi vyombo vya dola huwezi kusikia vikikemea.

Leo napata picha kuwa CCM ndio serikali na kama ni serikali ndio ina watu waliojaa CCM kulindana wote kwenye taasisi zote kuanzia dola, mahakama, bunge na n.k
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom