Ukiungwa mkono na Lowassa lazima Mungu akupige kofi

Watanzania tunatakiwa kuwa makini sana kutafuta usahihi wa jambo pasipo kutumika kisiasa tusijinyweshe maji ya bendera ambayo baadae unatamani kuyatapika ni vyema tukaangalia kiongozi sahihi ambaye anakuwa muungwana wa kupembua mambo nampenda sana hashim rungwe(haaaaaaaa haaaaaaaa utani jamani kwa rungwe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom