Ukiungwa mkono na Lowassa lazima Mungu akupige kofi

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Ile kauli ya kwamba mtu yeyote atakayejihusisha au kuungwa mkono na Edward Lowassa basi atapigwa Kofi na MUNGU umezidi kudhihirika leo baada ya mahakama ya juu kumnyanga' nya Ushindi wa Urais Bwana Uhuru Kenyatta.
Lowassa ndiye aliyapanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za Uhuru.
Hili ni funzo kwa wale ambao wanamuunga mkono lowassa watambue kwamba MUNGU atawachapa kofi moja takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ungelikia unaishi mbingu hapo sawa ila kwa vile upo hapa hapa duniani futa kauli yako.

Yesu Anaponya.
 
Ile kauli ya kwamba mtu yeyote atakayejihusisha au kuungwa mkono na Edward Lowassa basi atapigwa Kofi na MUNGU umezidi kudhihirika leo baada ya mahakama ya juu kumnyanga' nya Ushindi wa Urais Bwana Uhuru Kenyatta.
Lowassa ndiye aliyapanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za Uhuru.
Hili ni funzo kwa wale ambao wanamuunga mkono lowassa watambue kwamba MUNGU atawachapa kofi moja takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapema mno kwa maoni yako haya kwa sababu mahakama haijamnyang'anya uhuru kumpa raila bali uchaguzi unarudiwa ndani ya siku 60, baada ya hapo njoo utoe muono wako huu.
 
Ile kauli ya kwamba mtu yeyote atakayejihusisha au kuungwa mkono na Edward Lowassa basi atapigwa Kofi na MUNGU umezidi kudhihirika leo baada ya mahakama ya juu kumnyanga' nya Ushindi wa Urais Bwana Uhuru Kenyatta.
Lowassa ndiye aliyapanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za Uhuru.
Hili ni funzo kwa wale ambao wanamuunga mkono lowassa watambue kwamba MUNGU atawachapa kofi moja takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mungu wa Chattle ni sawa si tumeona mpk amemzuia asifanye siasa
 
Ile kauli ya kwamba mtu yeyote atakayejihusisha au kuungwa mkono na Edward Lowassa basi atapigwa Kofi na MUNGU umezidi kudhihirika leo baada ya mahakama ya juu kumnyanga' nya Ushindi wa Urais Bwana Uhuru Kenyatta.
Lowassa ndiye aliyapanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za Uhuru.
Hili ni funzo kwa wale ambao wanamuunga mkono lowassa watambue kwamba MUNGU atawachapa kofi moja takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app

nYaNi wA KaLe
 
Umofia kwenu wadau,
Nadhani huyu mzee kuna kitu hakipo sawa kabisa. Pamoja na kwenda kusali kwa TB Joshua ila naona ule mkosi wa wizi wa fedha za umma, wizi wa kura umemtokea puani Mh. Uhuru Kenyatta kwa kutenguliwa urais wake.

Pole sana Uhuru, sisi huku watanzania tulishakataa kabisa na kumkata huyu mzee kwa sababu hana weledi.
 
Now am certainly sure without reasonable doubt the Don is a major pain in ur@$$. I simply hate you!!
 
Hii Demokrasia tutakuja kuifikia nchi yetu kweli?
Kiukweli ni kitendawili kisicho na jibu mkuu lakini ipo siku atapatikana wa kuifikisha hapo walipo wenzetu. Maana ckingine ila katiba ndio kila kitu maana ndio matunda yake tunayaona leo kwa wenzetu kule Kenya.
Umofia kwenu wadau,
Nadhani huyu mzee kuna kitu hakipo sawa kabisa. Pamoja na kwenda kusali kwa TB Joshua ila naona ule mkosi wa wizi wa fedha za umma, wizi wa kura umemtokea puani Mh. Uhuru Kenyatta kwa kutenguliwa urais wake.

Pole sana Uhuru, sisi huku watanzania tulishakataa kabisa na kumkata huyu mzee kwa sababu hana weledi.
Unachokitafuta utakipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile kauli ya kwamba mtu yeyote atakayejihusisha au kuungwa mkono na Edward Lowassa basi atapigwa Kofi na MUNGU umezidi kudhihirika leo baada ya mahakama ya juu kumnyanga' nya Ushindi wa Urais Bwana Uhuru Kenyatta.
Lowassa ndiye aliyapanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za Uhuru.
Hili ni funzo kwa wale ambao wanamuunga mkono lowassa watambue kwamba MUNGU atawachapa kofi moja takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kajifunze kwanza kiswahili
 
Siku zote ukitaka kusimama upande sahihi kudai haki usipende kukaa upande mmoja ukijihisi upo sahihi maana hujui kama unaempigania ni mwaminifu na sahihi kwako binadamu hubadilika fikra na mtazamo pale anapojihisi ana mamlaka na anaweza kuyatumia katika jamii fulani nimempenda sana Uhuru kenyata ametumia vema jina lake kudhihirisha kile kilicho sahihi napenda hata anavokuwa anajiweka kisiasa vzr sana wakenya kwa kupata mtu mzuri hv natamani sasa kuona kishindo kikubwa cha ushindi maana kuiachia demokrasia hivi ni kuheshimu maamuzi sahihi ya wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile kauli ya kwamba mtu yeyote atakayejihusisha au kuungwa mkono na Edward Lowassa basi atapigwa Kofi na MUNGU umezidi kudhihirika leo baada ya mahakama ya juu kumnyanga' nya Ushindi wa Urais Bwana Uhuru Kenyatta.
Lowassa ndiye aliyapanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za Uhuru.
Hili ni funzo kwa wale ambao wanamuunga mkono lowassa watambue kwamba MUNGU atawachapa kofi moja takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
na ukiungwa mkono na bashite je?
 
Back
Top Bottom