Utaifanya nini serikali? Kwa katiba hii rais anaweza kuwaua wasukuma wote na bado asishitakiwe popote.Serkali hii asidhanie kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha kuruhusu ujenzi wa bandari ambayo utaathiri bandari zetu hususani bandari ya Dar es
Hakuna anayeota hapa! Akili kubwa ndo inaweza kung'amua haya mambo akili kisoda kajadili mapenzi!
Kwani hiyo bandari itakayojengwa sio yetu?Serkali hii asidhanie kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha kuruhusu ujenzi wa bandari ambayo utaathiri bandari zetu hususani bandari ya Dar es salaam!
Hawa watu wanadhani nchi hii ni ya malkia hangaya na wapambe wake peke yao.Waziri Mwambe amefikia hatua yakuwadanganya watanzania kuwa hakuna mkataba wowote uliowahi kusainiwa!!
kakoko wako hakua na elimu yoyote kuhusu bandari zaidi alikua mhandisi tanroad akiwa chini ya wwizara ya mwendazakeNasema hivo kwa sababu zifatazo:
Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo hakuna kilichoelezwa kwa undani tofauti na propaganda! Naweza kuamini kuwa Kakoko alitolewa pale kutokana na msimamo wake tayari kuhusu bandari ya BAGAMOYO amabayo alikuwa anaipinga sana!
Pili Rais Samia alifanya mabadiliko katika vizara ya ujenzi kwa kumtoa Chamriho hili nalo ukiliangalia kwa umakini Chamriho amekuwa katibu mkuu wa wizara ya ujenzi kwa mda mrefu kwa hiyo katika majadiriano ya bandari pendwa ya Msoga team BAGAMOYO alihusika kwa sehemu kubwa na ukizingatia tayari bandari hiyo ulikuwa ishaanza kupata mkwamo team ikaoma hata huyu Eng Chamriho anaweza kuwa kikwazo akawekwa pembeni bila sababu zenye mashiko!
Tatu ukitizama mabadiliko ya hivi karibuni ya kumtoa Kalemani bado utagundua mi mwendelezo wa kuwaondoa watu waliokiwa na msimamo wa kizalendo juu ya mikataba mibovu, hapa unaweza kuona Waziri wa sasa Makamba akifanya mikutano mingi na wawekezaji katika sekta ya gesi, kwa upande mwingine licha ya makamba kupingana na ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere lakini bado kupewa uwaziri ili kutimiza mision ambayo tayari ishapangwa na watawala ya awamu hii ya Sita hususani kwenye eneo la Gesi,eneo ambalo awamu ya nne ilituletea janga kubwa kwa mkataba wa ovyo wa gesi ya mtwara ambayo hata wana Mtwara wenyewe hawajui inafaida gani mpaka leo!
Nne mda si mrefu mtaona mabadiliko pia katika wizara ya nishati na madini sio kwa sababu waziri ni mbovu ila kwa sababu kuna vitu haviendi sawa vya kundi fulani la watu! Siku za hivi karibuni Waziri Biteko amekuwa akishutumiwa kwa ufisadi usio bayana akihusishwa pia na upotevu wa tanzanite kule mererani n.k yote hayo ni dalili kuwa hatakiwi kwenye hiyo wizara na bila shaka Waziri Mchengerwa amabaye huko utumishi alidokeza kuhusu uchunguzi juu ya wizara hii!
Hitimisho,Ikumbukwe kuwa nchi hii sio ya CCM na Sio ya team Msoga, haya yote yanayofanyika ya kuja kuwadanganya watanzania hususani kwenye mradi wa bandari ya BAGAMOYO ni hatari kubwa kwa hapo baadae kama yatafanyika bila umakini mkubwa,Serkali hii asidhanie kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha kuruhusu ujenzi wa bandari ambayo utaathiri bandari zetu hususani bandari ya Dar es salaam!
Bandari itakuwa mali ya wachina kwa 100%. Na watanzania tutakuwa manamba wa kutumikishwa kazi ndogo ndogo za suluba.Kwani hiyo bandari itakayojengwa sio yetu?
😅😅aaah sawa akili kubwaHakuna anayeota hapa! Akili kubwa ndo inaweza kung'amua haya mambo akili kisoda kajadili mapenzi!
Me huyo Erick Khamis ana nini cha kumzidi Kakoko?kakoko wako hakua na elimu yoyote kuhusu bandari zaidi alikua mhandisi tanroad akiwa chini ya wwizara ya mwendazake
Mama kafanya vizuri kufukuza hayo mapuuzi,yalitaka kumkwamisha kwenye ajenda zake za kuleta mabadiliko yenye tijaNasema hivo kwa sababu zifatazo:
Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo hakuna kilichoelezwa kwa undani tofauti na propaganda! Naweza kuamini kuwa Kakoko alitolewa pale kutokana na msimamo wake tayari kuhusu bandari ya BAGAMOYO amabayo alikuwa anaipinga sana!
Pili Rais Samia alifanya mabadiliko katika vizara ya ujenzi kwa kumtoa Chamriho hili nalo ukiliangalia kwa umakini Chamriho amekuwa katibu mkuu wa wizara ya ujenzi kwa mda mrefu kwa hiyo katika majadiriano ya bandari pendwa ya Msoga team BAGAMOYO alihusika kwa sehemu kubwa na ukizingatia tayari bandari hiyo ulikuwa ishaanza kupata mkwamo team ikaoma hata huyu Eng Chamriho anaweza kuwa kikwazo akawekwa pembeni bila sababu zenye mashiko!
Tatu ukitizama mabadiliko ya hivi karibuni ya kumtoa Kalemani bado utagundua mi mwendelezo wa kuwaondoa watu waliokiwa na msimamo wa kizalendo juu ya mikataba mibovu, hapa unaweza kuona Waziri wa sasa Makamba akifanya mikutano mingi na wawekezaji katika sekta ya gesi, kwa upande mwingine licha ya makamba kupingana na ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere lakini bado kupewa uwaziri ili kutimiza mision ambayo tayari ishapangwa na watawala ya awamu hii ya Sita hususani kwenye eneo la Gesi,eneo ambalo awamu ya nne ilituletea janga kubwa kwa mkataba wa ovyo wa gesi ya mtwara ambayo hata wana Mtwara wenyewe hawajui inafaida gani mpaka leo!
Nne mda si mrefu mtaona mabadiliko pia katika wizara ya nishati na madini sio kwa sababu waziri ni mbovu ila kwa sababu kuna vitu haviendi sawa vya kundi fulani la watu! Siku za hivi karibuni Waziri Biteko amekuwa akishutumiwa kwa ufisadi usio bayana akihusishwa pia na upotevu wa tanzanite kule mererani n.k yote hayo ni dalili kuwa hatakiwi kwenye hiyo wizara na bila shaka Waziri Mchengerwa amabaye huko utumishi alidokeza kuhusu uchunguzi juu ya wizara hii!
Hitimisho,Ikumbukwe kuwa nchi hii sio ya CCM na Sio ya team Msoga, haya yote yanayofanyika ya kuja kuwadanganya watanzania hususani kwenye mradi wa bandari ya BAGAMOYO ni hatari kubwa kwa hapo baadae kama yatafanyika bila umakini mkubwa,Serkali hii asidhanie kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha kuruhusu ujenzi wa bandari ambayo utaathiri bandari zetu hususani bandari ya Dar es salaam!
Siyo pumba tu ila ni upumbavu mtupu.Maelezo mengi lakini pumba tupu, unasumbuliwa na usukuma gang
Mlishindwa kutumia hiyo staha kwa magufuli mama yenu ndo mnata tuitumie jibu ni never.Hahahahaha, kosoeni ila kwa staha..., Mfalme wa chato kukosolewa ndio alikuwa hataki kabisa....Kaeni kwa kutulia mama ana miezi nane(8) tu..
Vipi ulipata NOAH yako , au unaendelea kusikilizia.Kuna familia imegeuka kansa kwa Taifa hili.
Nchi inahitaji kuondokana na watu hawa ambao wameigeuza nchi mali ya familia.
Ipo haja ya kuondokana na laana hii.
Na pia siyo ya team mwendazake wala wahutu wala Sukuma Gang
Ila mwendazake peke yake aliyekuwa na mamlaka ya kuwafanya watanzania wote wajinga. Mwendazake angeutoa hadharani huo mkataba mbaya haya yote yasingekuwepo. Yeye angetamani hiyo Bandari ingejengwa Chalttle.