Songíto;3903736 said:Je kwa bahati mbaya mtoto akikunyea mkononi utaukata mkono?.... jibu ni rahisi hapana!! mapenzi ni safari, na hasa siku hizi njia tupitayo kwenye safari hiyo imejaa mabonde na makorongo mengi sana... hivyo kujikwaa ni kawaida sana safarini humo!! unapojikwaa na kuanguka , dawa si kulala na kugomea safari bali kuinuka na kusonga mbele... nachotaka kusema!! We can't escape love..no matter the obstacles we face in it!!
Nini mara mbili! Ukiumia mara moja tuu piga bunda.