ukiumia zaidi ya mara mbili chapa lapa achana na mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukiumia zaidi ya mara mbili chapa lapa achana na mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, May 18, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  ushauri tu jamani
   
 2. vaikojoel

  vaikojoel JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 2,026
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Sawa,ila not taken
  thanks
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Love is risk taking, if you fail once or twice doesnt mean you shouldn't keep trying.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nini mara mbili! Ukiumia mara moja tuu piga bunda.
   
 5. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Je kwa bahati mbaya mtoto akikunyea mkononi utaukata mkono?.... jibu ni rahisi hapana!! mapenzi ni safari, na hasa siku hizi njia tupitayo kwenye safari hiyo imejaa mabonde na makorongo mengi sana... hivyo kujikwaa ni kawaida sana safarini humo!! unapojikwaa na kuanguka , dawa si kulala na kugomea safari bali kuinuka na kusonga mbele... nachotaka kusema!! We can't escape love..no matter the obstacles we face in it!!
   
 6. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Absolutely yes.
   
 7. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Watu tushaumia kama mara tano lakin bado tumo kwenye game...hatukat tamaa kirahis rahis hivyo,kila mtu ana haki ya kupenda na kupendwa pia.
   
Loading...