Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Wewe kweli ni fudenge😂😂😂 amfunge kwa ushahidi alioutoa!!! Shahidi anakiri hana ushahidi wowote wa maandishi au sauti. Unatumiwa laki tano unatoa 499,000/ ni mjinga tu wa kumwamini.
 
Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.

Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)

Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia

Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.

Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.

Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.

Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa

WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Constructive facts. Safi sana.
 
Nahisi nia ya urio tangu awali akifahamiana na mbowe ilikuwa njema. Naamini polisi na wanasiasa walivyojua kuwa mbowe kaajili ex-soldiers,wali-draw interest kujua aliwapata vipi. Sasa walipogundua Urio ndo connector wakaona(police) urio ashikishwe adabu,apopewa kichapo,akalazimishwa awe shahidi ili kukamilisha nia ovu ya serikali kuihujumu chadema/mbowe. Sasa,urio hana LA kuzungumza isipokuwa ukweli kuwa kazi ilyohitajika na mbowe ilikuwa ulinzi. Hilo LA ugaidi ni kutimiza tu nia ovu ya watawala. Ngoja tuendelee kufuatilia hii movie.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Huyu mama ameharibiwa Sana na Jiwe. Jiwe alikuwa hajali mihimili mingine sasa na mama amemuiga, kipindi cha hawa wawili kitakumbukwa kwa uharibifu mkubwa wa kutoheshimu katiba. Kesi iko mahakamani mama anajiingiza ooh wenzake Mbowe walishafungwa. Sasa unategemea hawa watendaji wa chini watafanya nini zaidi ya kujitia hamnazo. Kuwa shahidi wa serikali lazima ujifyatue akili. Mtu mzima unazodolewa na mawakili Kama zuzu!!!kisa kulinda heshima ya mtu aliyejitakia kuchafuka!!!
 
Inawezekana Jiwe pamoja na system walipaniki baada ya kusikia MH Mbowe anaongeza ulinzi.

Upelelezi ukafanyika wakagundua anayesaidia mchakato huo ni Luteni Denis Urio ambaye ni komandoo WA jeshi la wananchi.

System ikamkamata na kumtesa Luten Denis Urio, Luteni Urio akakubali kutengeneza kesi. Swali la msingi Kikabaki je Akina Adamoo na wenzake watakatwa vipi?? Hapo ndipo komandoo Lijenje akauza ramani Kwa system.

Mastermind WA hii kesi ni Kingai, Mahita, Sabaya,Jiwe, IGP, Goodluck, Jumanne, Luteni Urio pamoja Komandoo Lijenje. Hawa wanajua kila kitu kuhusiana na kesi hii ya mchongo.
 
Back
Top Bottom