Ukiukwaji wa Haki za Binadamu: Tanzania yachongewa Umoja wa Mataifa (UN)

Status
Not open for further replies.
Huku Umoja wa Mataifa UN, Jumuiya ya Ulaya EU, Human Rights Watch HRW yenye makao Geneva U-Swiss n.k na Halafu serikali mpya Marekani ya Mh. Joe Biden na chama cha Democrats wapo mjengoni Jumba Jeupe, mitano tena watakuwa katika wakati mgumu .
 
Wewe ndiyo una matatizo ya kiakili kwa kufumbia macho habari mbaya ambazo ziko kila kona nchini na kujifanya kila kitu ni shwari kabisa. Watanzania kama wewe ni matatizo makubwa sana nchini. Mpaka viongozi wa dini wameamua kuvaa njuga kuhusu hali halisi nchini lakini mpuuzi wewe huoni hivyo!!!!
Hivi ni kipi unadhani Tanzania ingefanya ingeweza kuzuia korona? Angalia USA pamoja na jitihada zao zote za kupambana na korona mpaka ya takwimu za leo new deaths USA 1800+...

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
NYIE NDO CORONA HUWA INAANZA NA NYIE ,MAANA MUNGU HAPENDI WANAFIKI MNAOJIKOMBA KWA JIWE
Kwani unafikiri una muda basi!? Itakufikia wewe na familia yako soon
Haibagui wala haichagui hii👣👣
 
Hii nchi inonekana kuna udikteta wa kiwango cha hali ya juu. Bila shaka baada ya awamu hii kupita, kumbukumbu hizi zitawekwa wazi, na ni dhahiri utawala wa awamu hii utakumbukwa milele kama kipindi cha giza ambapo Taifa letu lilipitia kwenye mambo ya ajabu ambayo watu wengi hawakupata kuyajua.

Yote yakiweza kuwekwa wazi, hakika watu wataona aheri ya Nduli Amin.
 
Un
Wewe ndiyo una matatizo ya kiakili kwa kufumbia macho habari mbaya ambazo ziko kila kona nchini na kujifanya kila kitu ni shwari kabisa. Watanzania kama wewe ni matatizo makubwa sana nchini. Mpaka viongozi wa dini wameamua kuvaa njuga kuhusu hali halisi nchini lakini mpuuzi wewe huoni hivyo!!!!
Kama una akiri uanadhani hiyo kesi ina tija mpaka ulilete humu?
Basi uje utuletee na mwisho wake na sio kuishia kutoa taarifa tu.
Muwe mnatoa taarifa zenye impact na taifa na sio kila umbea mnaleta hapa kisha hamtoi mlejesho wake alafu mnajiona mna akiri saana.
Husuda itawaua.
 
Wakati mwingine tunaonekana kama mikondoo, yote yaliyoandikwa HRW ni ya kweli, lakini bado kuna watu katika jamii wanamuona mbaya huyu mtetesi wetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom