Mnamkumbuka yule jamaa aliyeuwa mkewe kule kigamboni kwa kumchoma moto, basi yule jamaa alifanya kosa lakini ukisoma kisa changu utatamani yule jamaa apewe kosa la kuuwa bila kukusudia au aachiwe huru maana wanawake now ni pasua kichwa
===========================
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa kiislam ambae kabla ya Mahusiano yangu mimi na yeye nilimkuta akiwa na mtu wake ambae alikiri kuwa wameachana hivyo sikuwa na wasiwasi mahusiano yakaanza huu ni mwaka wa pili
Na hivi majuzi nilikuwa katika taratibu za kufunga nae pingu za maisha, na nililazimika kuslim ili kufuata Dini yake kitu ambacho ndugu zangu walikikataa lakini mimi nikasema niliyempenda ni mimi tusiingiliane
Wakuu huyu binti ni jirani yangu na mara nyingi akija kwangu huwa simu yake anaiacha kwao hadi nikaanza kupata wasiwasi sim yake imeficha madudu gani au ina nini, na hapo nilikuwa mbioni kufunga nae ndoa, na tayari nilishamfungulia hadi biashara mahitaji mengine yote mimi ndio nilikuwa namhudumia.
Wiki iliyopita nilimwita aje kwangu mida ya usiku nipige show, akaniambia kuna sehem anatoka atapitia kwangu, kweli mida ya saa nne kasoro usiku akapitia lakini alibadilika, yaani hataki kunisogelea wala hana ham na mimi na sio kawaida yake, nikawambia naomba aende dukani akaninunulie panadol ili nipate nafasi
Faster nikachukua sim yanke nikascan whatsapp qpr code, then nkairudisha kwenye mkoba wake haraka. akaja na kuondoka, ile amefika tu kwao akaingia whatsapp online na mimi nikaingia webb kuanza kusoma anachat na nan
Niliishiwa nguvu nilipokuta anachat na bwana wake wazamani aliyenambia wameachana, tena alikuwa anamtext kuwa anamjulisha amefika hivyo anaenda kuoga akirudi wachat, inamaana alitoka kwake kuuchezea,wakuu niliishiwa nguvu tena baada ya yule jamaa kumshukuru mwanamke wangu kumpa laki mbili ya kodi .
Ila aliyecreate vitu kama hivi whatsapp web mungu ambariki maana ameniokoa na mengi japo imeniuma sana, ndio maana usione mtu kapiga kauwa ukamlaumu hawa wanawake ni shida, hawana huruma, mtu ukimpenda na kumhudumia vizuri jua atatafuta mhuni wake wazamani asiempa kitu akamsugue na mimi nilikuwa namt@@mb vizuri tu, ila wanawake hawajulikani wanataka nini
Najiuliza ndugu zangu ambao nishagombana nao ntarudi kuwaambia nini
hatariNishafanyaga hivo nikamwacha na dem
Nikakuta Ana washkaji wengine wawili af me nnae yeye mmoja
eti eeeMtajiua bure..hivyo vitu vimewekwa sio kwa ajili ya kuchunguzana..ukimchunguza mwanamke utafukiwa kabla ya siku zako ukituachia wahuni tunyooshe madem zenu/wachumba..
yapNkigundua hata mimi hyo ring sitokua na ham nayo .. nspojua freshh.
eti eee
Acha uzushi hapa inaonyesha wapi kuwa inatumika kwenye PCHuyo nae sio makini au hajui tuu.. ukiconnect WhatsApp web lazima ioneshe kwenye sim yake kwa juu kua account yake inatumika kwa PC.
Anyways.. pole sana.
Msaada wa namna ya kusoma hizo msg ndugu na mimi nianze u FBIMnamkumbuka yule jamaa aliyeuwa mkewe kule kigamboni kwa kumchoma moto, basi yule jamaa alifanya kosa lakini ukisoma kisa changu utatamani yule jamaa apewe kosa la kuuwa bila kukusudia au aachiwe huru maana wanawake now ni pasua kichwa
===========================
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa kiislam ambae kabla ya Mahusiano yangu mimi na yeye nilimkuta akiwa na mtu wake ambae alikiri kuwa wameachana hivyo sikuwa na wasiwasi mahusiano yakaanza huu ni mwaka wa pili
Na hivi majuzi nilikuwa katika taratibu za kufunga nae pingu za maisha, na nililazimika kuslim ili kufuata Dini yake kitu ambacho ndugu zangu walikikataa lakini mimi nikasema niliyempenda ni mimi tusiingiliane
Wakuu huyu binti ni jirani yangu na mara nyingi akija kwangu huwa simu yake anaiacha kwao hadi nikaanza kupata wasiwasi sim yake imeficha madudu gani au ina nini, na hapo nilikuwa mbioni kufunga nae ndoa, na tayari nilishamfungulia hadi biashara mahitaji mengine yote mimi ndio nilikuwa namhudumia.
Wiki iliyopita nilimwita aje kwangu mida ya usiku nipige show, akaniambia kuna sehem anatoka atapitia kwangu, kweli mida ya saa nne kasoro usiku akapitia lakini alibadilika, yaani hataki kunisogelea wala hana ham na mimi na sio kawaida yake, nikawambia naomba aende dukani akaninunulie panadol ili nipate nafasi
Faster nikachukua sim yanke nikascan whatsapp qpr code, then nkairudisha kwenye mkoba wake haraka. akaja na kuondoka, ile amefika tu kwao akaingia whatsapp online na mimi nikaingia webb kuanza kusoma anachat na nan
Niliishiwa nguvu nilipokuta anachat na bwana wake wazamani aliyenambia wameachana, tena alikuwa anamtext kuwa anamjulisha amefika hivyo anaenda kuoga akirudi wachat, inamaana alitoka kwake kuuchezea,wakuu niliishiwa nguvu tena baada ya yule jamaa kumshukuru mwanamke wangu kumpa laki mbili ya kodi .
Ila aliyecreate vitu kama hivi whatsapp web mungu ambariki maana ameniokoa na mengi japo imeniuma sana, ndio maana usione mtu kapiga kauwa ukamlaumu hawa wanawake ni shida, hawana huruma, mtu ukimpenda na kumhudumia vizuri jua atatafuta mhuni wake wazamani asiempa kitu akamsugue na mimi nilikuwa namt@@mb vizuri tu, ila wanawake hawajulikani wanataka nini
Najiuliza ndugu zangu ambao nishagombana nao ntarudi kuwaambia nini
Pole mkuu, ila huyo manzi kavu sana.Mnamkumbuka yule jamaa aliyeuwa mkewe kule kigamboni kwa kumchoma moto, basi yule jamaa alifanya kosa lakini ukisoma kisa changu utatamani yule jamaa apewe kosa la kuuwa bila kukusudia au aachiwe huru maana wanawake now ni pasua kichwa
===========================
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa kiislam ambae kabla ya Mahusiano yangu mimi na yeye nilimkuta akiwa na mtu wake ambae alikiri kuwa wameachana hivyo sikuwa na wasiwasi mahusiano yakaanza huu ni mwaka wa pili
Na hivi majuzi nilikuwa katika taratibu za kufunga nae pingu za maisha, na nililazimika kuslim ili kufuata Dini yake kitu ambacho ndugu zangu walikikataa lakini mimi nikasema niliyempenda ni mimi tusiingiliane
Wakuu huyu binti ni jirani yangu na mara nyingi akija kwangu huwa simu yake anaiacha kwao hadi nikaanza kupata wasiwasi sim yake imeficha madudu gani au ina nini, na hapo nilikuwa mbioni kufunga nae ndoa, na tayari nilishamfungulia hadi biashara mahitaji mengine yote mimi ndio nilikuwa namhudumia.
Wiki iliyopita nilimwita aje kwangu mida ya usiku nipige show, akaniambia kuna sehem anatoka atapitia kwangu, kweli mida ya saa nne kasoro usiku akapitia lakini alibadilika, yaani hataki kunisogelea wala hana ham na mimi na sio kawaida yake, nikawambia naomba aende dukani akaninunulie panadol ili nipate nafasi
Faster nikachukua sim yanke nikascan whatsapp qpr code, then nkairudisha kwenye mkoba wake haraka. akaja na kuondoka, ile amefika tu kwao akaingia whatsapp online na mimi nikaingia webb kuanza kusoma anachat na nan
Niliishiwa nguvu nilipokuta anachat na bwana wake wazamani aliyenambia wameachana, tena alikuwa anamtext kuwa anamjulisha amefika hivyo anaenda kuoga akirudi wachat, inamaana alitoka kwake kuuchezea,wakuu niliishiwa nguvu tena baada ya yule jamaa kumshukuru mwanamke wangu kumpa laki mbili ya kodi .
Ila aliyecreate vitu kama hivi whatsapp web mungu ambariki maana ameniokoa na mengi japo imeniuma sana, ndio maana usione mtu kapiga kauwa ukamlaumu hawa wanawake ni shida, hawana huruma, mtu ukimpenda na kumhudumia vizuri jua atatafuta mhuni wake wazamani asiempa kitu akamsugue na mimi nilikuwa namt@@mb vizuri tu, ila wanawake hawajulikani wanataka nini
Najiuliza ndugu zangu ambao nishagombana nao ntarudi kuwaambia nini
Sio mzoefuHuyo nae sio makini au hajui tuu.. ukiconnect WhatsApp web lazima ioneshe kwenye sim yake kwa juu kua account yake inatumika kwa PC.
Anyways.. pole sana.
Hujui kitu.anaejua hajigambi Bali anafanyaNinh
Ningekufundisha njia nyingine ila unaonekana una wivu sana!!
Unali find utalipata.Msaada wa namna ya kusoma hizo msg ndugu na mimi nianze u FBI
Itakuwa alikutumia mambo mazito sanaDah kuna mxeng nilimwazima PC yangu kuingia net basi kazama Wasap web ***** hapo nasikia kinotifikesheni kweny CM ... Daaah nilimtukana pale pale.. Mana bi Dada alikuwa kantumia vitu
My bro it seems you are YET to understand ladies, hizo njia za kutumia whatapp web ni za zamani na pia mtu mjaja atajua tu unamuchunguza mkuu, njia rahisi kabisa ni hii why not tap her conversation ??????yaani kwanini usisikilize mawasiliano yake kwye simu yake??? na siku hizi iko njia ya kufanya hivyo bila hata kuweka software kwa simu ya mpenzi waku, unahitaji tu namba yake ya simu tosha, lakini hii njia mpaka uwe na licence toka kwa kampuni ambayo itakukodisa hio software ambayo utaitumia kupata mawasiliano ya mpenzi wako yote bila yeye kujua na pia bila wewe kuweka kitu kweye simu yake, lakini njia hii sana inatumiwa na spy agents, kaa kina mossad, cia na m16 na wengine na pia makampuni ya private detectives, lakini mpaka kaa nilivyosema uwe na licence from providers, na wengi wa hao providers ni wanaisrael, munakubaliana bei, unasign some papers na mambo kaa hayo, unakubuka kisa cha muandishi wa habari wa saudi arabia kashogi ambae aliuawa hapo turkey??? majasusi wa saudi walitumia hii njia kunasa mawasiliano yote toka kwa kashogi, na ndio hata waisraeli wanataka kuvuta mkataba na saudi kwa kile saudi walifanya, na pia CEOS wa makampuni makubwa hutumia pia hii njia kunasa their top excutives.mimi hapa natumia hii njia na nikikuambia wale mabinti nimewaacha kwa kusikiza conversations zao na huko wananindangaya ati ni mimi pekee, utashangaa, lakini sijakata tamaa, nitapata yule ambae ni TRUE AND FAITHFUL, pole for what happened to you bro, be very very careful bro next time
Mi namuongezea Bwege wa Kitaifa kabisa. Mwanaume unabadiri dini kisa K. Utateseka sana kama mwanaume.wanaume wa kweli hayumbishwi kwenye Imani yake.We nawe kumbe bwege yani unabadilisha dini kisa mwanamke dunh