TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Samwel Doe wa Liberia Aliingia Madarakani kwa Mbwewe za Kuwapiga Risasi hadharani Watendaji wa Serikali kwa madai ya rushwa Hila, Uonevu na ufisadi. Alishangiliwa sana, Nafikiri ni sawa kupigana na Rushwa na Ufisadi na dhuluma. Lakini uwe makini kuwa wewe mwenyewe Vitendo hivyo vya Rushwa, Uonevu hila na Ufisadi huna.
Akiwa kwenye Kitoroli
Akiwa Kwenye Kitoroli huku Ninilii zake za Kwazulu Natal zimekatwa!
Anatia huruma huku Sikio limekatwa!
Hakuwaonea Hawa Huruma, Alijifanya Msafi Kuliko wao na Akawapiga Risasi Hadharani!