Ukitongoza "changudoa" mombasa vumilia maswali

ze encyclopedia

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
316
180
Kama: Babie nataka tu-have sex
Shiko: Saa hii ama baadaye?
Kama: Saa hii
Shiko: Kwa bed ama kwa sofa?
Kama: Sofa
Shiko: 2-seater ama 3- seater?
Kama: Ama twende tu bed
Shiko: Juu ya sheets ama chini ya sheets?
Kama: Juu ya sheets
Shiko: Na juala ama kavu kavu?
Kama: Na juala
Shiko: Trust ama Salama?
Kama: Salama
Shiko: Flavoured ama normal?
Kama: Flavoured, Daaah
Shiko: Banana flavour ama strawberry?
Kama: Strawberry
Shiko: Uko nazo ama unaendea kwa shop?
Kama: Nitaendea shop
Shiko: Shop ya Mama Kamau ama Mama Shiru?
Kama: Ama tukiss tu,wachana na sex
Shiko: Deep kiss ama peck?
Kama: Uko na ujinga sasa!
Shiko: Mwingi ama kidogo?
Kama: By the way nitaku-dump!
Shiko: Saa hii ama na text?
Kama: Toka HAPA ata nitagetdame mwingine!
Shiko: Mrefu ama height yangu?
Kama: TOKA HAPA! TOKA! Kwenda!
Shiko: TENA HUTAKI SEX??
Kama: Nope... Nitamustarbate tu!
Shiko: Na sabuni ama vaseline
Kama: Na chilli-sauce punta wewe...
 
Hiyo ni sawa na ile ya baba na Ally, Ilikua hivi;
BABA; Ally nilitee soda hapo kwenye friji.
ALLY: coca au nani?
BABA:coca.
ALLY; ya kopo au ya chupa.
BABA; ya chupa.
ALLY; ya moto au ya baridi?
BABA; ya baridi.
ALLY: ya hapa hapa au nikanunua dukani?
BABA; ya hapa hapa.
ALLY; Kwenye glass au kwenye kikombe?
BABA; kwenye glass
ALLY; sasa hiv au baadae?
BABA; halafu Ally nitakupiga? mpumbavu wewe, leta hio soda.
ALLY; utanipiga sasa hivi au baadae?

BABA; halafu nitakuua, shenzi wewe.
ALLY; utaniua na bastola au kisu?
BABA; nitakupiga bastola.
ALLY; ya kichwa au ya tumbo?
BABA; toa njee, mpumbavu wewe
ALLY; sasa hivi au baadae?
BABA; sasa hivi.
ALLY; kwa hiyo soda utaki tena?????
 
Ahahhahaha hiyo kali sana...maana wao ni ma proffessional zaidi wanatafuta kujua unataka huduma aina gani na itakuwaje!!
 
Nimecheka sana, thank you for making my day ze encyclopedia, daah! mbavu zangu, je na machangudoa wa Tz nao wana maswali? Kama yapo naomba utujuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom