Ukitenguliwa na Mh. Rais, kuna kifuta jasho unaambulia?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mh. Rais akitengua aliyemteua kuna marupu rupu ama kifuta jasho chochote unaambulia ?

Either ukiwa Katibu Mkuu , Waziri , Mkurugenzi wa Shirika la Umma , RC , DC , DED n.k...n.k.

Unatoka kwenye mshahara mnono , marupurupu , ulinzi , usafiri , nyumba ya serikali etc..to Zero public Service !

Wanaambuliaga kifuta machozi ?
 
Kanuni za utumishi wa umma zinazingatiwa, tatizo wabongo wanapo ajiriwa njaa inakuwa mbele, akiteuliwa anawahi mkoti wakuapia ikulu akifika anakutana na kiapo Cha kutunza Siri.
 
Back
Top Bottom