Ukitega mtego usikae hapo utanaswa: fundisho

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,336
875
Ile nchi ikaona njia ya kumtega jasusi wake wa zamani ni kumtungia tuhuma mbalimbali za uhaini ili azikatae na kujitetea ili impe jukumu la kuilinda dhidi ya wabaya wa bwana mkubwa. Wakatunga kwamba alitaka kupindua nchi kwa jeshi, jasusi akakaa kimya, wakatunga alikwenda kukodi jeshi nchi ya magharibi ya Africa, jasusi akaona sasa ni bora akubali. Alipokubali nchi ile ikaona sasa kweli Jasusi haipendi serikali yake kiasi cha kukubali uongo aliotungiwa. Ikawa dhahiri kwamba Jasusi na nchi vikawa na mahusiano msigano.

Ile nchi sasa ikaona njia ni kutega mtego wa kumchafua Jasusi machoni mwa jamii na chama ambacho anaonekana kukubalika. Ikampata kijana moja Marehemu na kumkaririsha mistari ya shutuma kwamba Jasusi anaanda mapinduzi huku akikwamisha utawala. Jasusi aligundua tu kwamba Marehemu anatumika kumtega ila asijuwe mwenye mtego. Jasusi akaingia shimoni na hasitoke nje miezi kadhaa. Nje ya shimo kwenye mtego Marehemu na mwenye mtego wakaendelea kubadirisha chambo na mazingira bila Jasusi kujitokeza.

Mwenye mtego akaona hana muda tena wakumsubiri Jasusi nje ya shimo lake hivyo akaamua achimbe shimo ili Jasusi atoke na ale chambo kisha ashikwe. Na hili ndilo alilotaka Jasusi, amemnasa mwenye mtego na sasa mwenye mtego ana maswali ya kujibu. Marehemu naye ameshikwa na amekiri kwamba alitumwa tu sio kumnasa Jasusi bali kumnyamazisha mahala pema milele. Mwenye mtego akiwa amenasa kwenye mtego wake mwenyewe anasema alimchimba Jasusi kwa nia njema tu na ni taratibu za kiutawala kuwachimba majasusi ukizingatia ni muda tangu aingie shimoni na alihofu hizi mvua zingeharibu shimo lake hasa mvua za msimu wa korosho.

Duh, MODS nimekosea kumbe hii mada ilitakiwa iende kwenye jukwaa la jokes na simulizi za ajabu kutokea tangu kupata huru. Basi utanisemehe, nisaidie iende huko. Poleni.
 
Nyie wazee wa Misiba mna mambo?!!
 
wale wa upande wa Lumumba hawawezi kuelewa codes ulizoandika!
 
Back
Top Bottom