Ukitazama hii Picha Utagundua JK aliomba apigwe Picha

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
253261_10150869871928581_1983273166_n.jpg

ni kama anamwambia Michuzi, "aisee hakikisha inatoka vizuri"
 
Nahisi ka hakuwa busy na mjadala bt alikuwa busy na halo ka beibei wa pembeni yake coz inaonekana wote hawasikilizi mbele!
 
Tabu ya Rais wetu utoto na ujana wake alikuwa anashinda na Babu yake porini akiwinda wanyama
kwa sasa ndio unafunguka anauona ulimwengu ulivyo
 
Naona kama anaomba namba ya cm na id ya fb au amekosea kufanya hivyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom