Ukitaka ushukiwe kama Mwewe na hapa JF, basi andika uzi kama huu

Bob.... Lengo langu si kupata madem. Nataka rafiki tu wa kuniongoza huko lakini SI kwa nia hiyo ya sex. Pia sina lengo la kukuaminisha mi ni tajiri.siwezi fanya hivyo.

Utajiri wa keyboard kila mtu anao mkuu nitumie laki 5 nakutaftia mtoto mkali of your own description A-town.
 
Nina akili sana. Ili unitapeli inakubidi uwe mzuri na mwenye akili sana. Kitu ambacho ni nadra sana kutokea. Haiwezekani ukawa na hivyo vitu. Wanatapeliwa wapumbavu tu sisi wasomi wa ukweli na wenye akili ni ngumu.
Sisi wasomi wa kuunga unga IQ zetu mnato mtufundishe izo akili nyingi sana zinauzwa wapi.Au mnazitoa wapi kama ni marefa na sisi tupigieni pande mana maisha magumu bro.



Tunachakaa mtaani
 
Mimi si tajiri lakini si mbaya akili zangu zimenisaidia kama kwa mwezi napokea take home ya zaidi ya mil 30 nalipiwa nyumba,usafiri,afya,matengenezo ya gari na allowances nyingi sina shaka umri wangu mdogo tu.

Siku nliandika humu kuomba ushauri kwa wenzangu wenye akili kuwa kwa mtaji wa mil 300 naweza fanya biashara gani. Walinishukia watu kwa hasira na matusi.

Bahati mbaya wenye akili muda huo walikuwa busy wakawepo wale wengine ambao wapo loose muda muda ndo wana matusi balaa....nikaomba mod wauondoe uzi maana isiwe shida.
Ni dhahiri una frustrations, sio bure. Mara una akili sana kiasi una take home ya 30m, mara wewe huyo huyo hujui biashara gani ufanye na 300m.

Kweli serikali ipo sahihi...BANGI MBAYA.
 
Moja ya tatizo kubwa lililopo JF ni kuwa kigezo cha mtu kuwa member ni kujua kusoma na kuandika tu. Hiyo ndo shida. Ndo maana hata wewe upo humu una diriki kuchangia threads za sisi watu wenye akili. Hujui tu kuwa hiyo tarehe ni tarehe ambayo picha imekuwa edited.

But pia utakuwa very dumb to think naweza weka sura au any details of me. By the way...wewe kutokuamini kuwa sina matatizo hainifanyi nianze kuwa nayo. Utabaki na roho mbaya yako.mimi naendelea na misha yangu.
😂😂😂😂😂😂dah , huyu tajiri anafurahisha kweli
 
Jamani kwani Ubungo Maziwa ni kubaya?

Tiba
Dah..siyo kubaya...ila siyo hadhi yake kwa kiwango cha kodi anacholipa.......... inatakiwa polisi wamlinde nyumbani kwake 24/7.....Zima moto na uokoaji waweke kambi mita chache kutoka nyumbani kwake...atibiwe bure tena tiba daraja la juu...ajengewe barabara ya lami hadi nyumbani kwake..badala yake kaenda kuishi Maziwa kwenye hewa ya ukaa kutoka Tanesco ....tena hakuna hata doria ya maana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Weka picha mkuu.ila naona ni mtizamo wako tu mbaya dhidi yetu hungry people mbona umeandikwa na hatujakutukana
 
Hata mimi najiuliza kwanini iko hivi humu JF? Yaani ukiandika chochote kizuri watu wanakasirika wanatokwa povu balaa. Sasa andika umelala na njaa siku mbili huna hata mia utapata LIKES 10,000 na majibu mazuri sana
Hii IPO hata magroup ya wasap ni shida tupu,ukiwa na maisha ya plani hawataki hovyoo wenye tabia za dharau
 
Back
Top Bottom