Ukitaka uozee jela toa speech kama hii nchi za Africa

Mbona ni pussy neno la kawaida tu? pussy hapo kaitumia kama "Cowardly" (lacking courage)
 
Huku kwetu hata ukikataa kupokea mkono wa salamu wa kiongozi ni kosa kubwa sana, unaweza hata kunyongwa
 
mod usibadilishe heading,nikuozea jela sio kulala jela,tafadhali rudisha kuozea jela
 
Hauko serious wewe.

Labda kwa kukusaidia tu pussy ina maana zifuatazo (According to Macmillan English dictionary for advanced learners, 2006):

1. Informal : a cat (inatumika sana na watoto)

2. Offensive: woman's vagina

3.
Offensive: an insulting word for a man who is not strong, brave or determined
 
Ktk hizo definition zako 3, ipi hapo YA KAWAIDA, mana kule juu umesema ni neno la "kawaida"
 
Kuunganisha hili jina na mada husika kunaweza kuwa ni uchochezi,,,,kuwa makini mkuu leo hii siyo ile zamani.

hapo uchochezii gani mkuu? kwer tanzania kunauvumilivu
rais kaingia bungeni wengine wanatoka nani atavumilia mambo kama hayo? we vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom