GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
- Thread starter
- #81
Jamaa anasisitiza kabisa eti faini za madawa ya kulevya zikaboreshe sekta ya Afya.
Yaani tusubiri wauza unga wakamatwe ndio dawa zipatikane hospitali??
Halafu anajiita game changer.
Leo ndio nimegundua huyu jamaa ana fuvu tu lililobeba nywele, Ubongo hakuna kabisa.
Laiti ungeielewa 'Sentensi' yangu ya Kwanza katika hiyo 'Point' wala 'usingesumbuka' nayo hivi ila kwakuwa una 'Upumbavu' wa Kurithi hujaielewa.