Ukitaka Sredi yako Iwe na wachangiaji wengii Wengi

ninyi ingewafaa sana muende kuijadilia kule facebook maana naona hii mada ya kifacebookfacebook

anzisha hiyo sredi some minutes after lunch times, kwenye forum ya mmu halafu iwe inamgusa au inamuongelea member maarufu wa mmu.

Kuna anayebisha hapa?

hii mada ni nzuri ila mimi nashauri ingependeza sana kama unge ipost kule facebook

Yeahh mada zote zinazochangiwa pale mpaka page 10-15 zinahusu watu hapa jamvini.

Vivian GT.... observation yako ya kweli...

walau nimeongeza # of post...

Hahahaha! Watu mna visa. Heading nzuri ila ulichotuelezea ndani ni... C.r.a.p.

Husny dear mwenzio leo theory yake tulijaribu kwa practice ikafanya kazi...

leo kulikua na uzi wa Boss, King'asti, Faiza F, na bibie Vivian mwenyewe

ambapo by that time wachangiaji tayari tulikua hoi...lol

heee! Labda kwa chit chat au mmu ila majukwaa mengine hakuna maarufu yeyote wa jf anayetajwa na michango huwa mingi.

Hio ni kwa Chit chat dear... kwani kuna la msingi lolote linajadiliwa humo?? HAMNA! Ila tu full kuchakachua... MMU na C/Chat waweza tuma post

inasema tu "Dah" na ukaeleweka kabisa... wapi utapeleka comment kama hio kama si jokes?? lol Nafikiri ni zile topic hutufanya tupoteze mda na ku

relaxisha akili...

Kazi kweli kweli...

Kwa hiyo MMU ni sehemu ya kitoa,
kupata na kutafuta umaarufu..

Ukianzisha poster yeyote kama una pointi
Ya maana kila mtu ataichangia na wengine
Wataisoma .. mfano poster za Mwanajamiione, Mbu, na Lizzy ...

Ok utasema hao ni member wa mida humu..

Angalia poster za First Born....

bora ziwepo zitupunguzie stress. Upo poa lakini? Hebu tuchakachue kidogo tumjazie jazie. Lol.

hebu jigongee likes mbili kwanza. Waambie nimekuruhusu.

Kazi kweli kweli...

Kwa hiyo MMU ni sehemu ya kitoa,
kupata na kutafuta umaarufu..

Ukianzisha poster yeyote kama una pointi
Ya maana kila mtu ataichangia na wengine
Wataisoma .. mfano poster za Mwanajamiione, Mbu, na Lizzy ...

Ok utasema hao ni member wa mida humu..

Angalia poster za First Born....

AD hapo nilizungumzia the type of comment waweza toa... MMU is my best forum na as much as inaongoza kwa uchakachuzi ni kua ni moja ya forum yenye topics za msingi na maana, nafikiri hata uchakachuzi inategemea na Uzi wenyewe... mifano ulotoa ni kweli na tusiende mbali... Observe Topic ya "Msukule wa Mapenzi ya Mbu" the way imesimama in content na its applicability... nafiri utakua umenisoma vibaya .... Acha tu post za First Born... kuna Eiyer pia... hua wanakua na post zenye insight ya ukweli...

bora ziwepo zitupunguzie stress. Upo poa lakini? Hebu tuchakachue kidogo tumjazie jazie. Lol.

Kwa kweli hua zinapunguza stress... but hata hivo huyu bibie huu uzi kisha telekeza na kupost mwingine leo MMU...

Topic tu ukiona unajua unaingia kuchakachua.... Niko pouwa dear... wewe mzima?

mods wenyewe wanafurahi tunavyochakachua. Mi mzima mpendwa. Karibu mpwapwa.

AD hapo nilizungumzia the type of comment waweza toa... MMU is my best forum na as much as inaongoza kwa uchakachuzi ni kua ni moja ya forum yenye topics za msingi na maana, nafikiri hata uchakachuzi inategemea na Uzi wenyewe... mifano ulotoa ni kweli na tusiende mbali... Observe Topic ya "Msukule wa Mapenzi ya Mbu" the way imesimama in content na its applicability... nafiri utakua umenisoma vibaya .... Acha tu post za First Born... kuna Eiyer pia... hua wanakua na post zenye insight ya ukweli...

Ok...
Dahhhh
Naona umenisoma vibaya ..
Hapo nlitoa comments .. lakini
Jinsi ulivyoanza kujibu hapo juu ni
Kama vile wadhani nlikiwa nakwambia
Wewe directly

Nway nimekupata lakini..

mods wenyewe wanafurahi tunavyochakachua. Mi mzima mpendwa. Karibu mpwapwa.

Nauli shing ngapi toka huku Southern highlands?? Alafu Mods ilibidi kweli nyuzi ambazo

sio za msingi saana zitolewe maana hufanya zile ambazo ni educative ziiende page nyingine na ni muhimu zaidi....

Ok...
Dahhhh
Naona umenisoma vibaya ..
Hapo nlitoa comments .. lakini
Jinsi ulivyoanza kujibu hapo juu ni
Kama vile wadhani nlikiwa nakwambia
Wewe directly

Nway nimekupata lakini..

Aisee nisamehe... the post before ulotuma mimi nilielezea kuhusu MMU,

Nikadhani maybe ndo umenijibu hilo... should have know beta i guess...

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom