kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Pitia mitandao yote utagundua watu wanojenga hoja za kisera, kisheria, kikatiba, kiuchumi, kijamii na anga nyingine ni makundi haya
-Viongozi wa serikali
-Viongozi na Wafuasi wa chama Tawala
- Wanaharakati
- Wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani
- Baadhi ya Wastaafu katika utumishi wa Umma hasa wale ambao hawana bodi Wala chombo Cha kuongoza
- Baadhi ya viongoz wa dini
- Wananchi waliotengwa na mnufaiko wa keki ya Taifa.
-Viongozi wa serikali
-Viongozi na Wafuasi wa chama Tawala
- viongozi wa upinzani wanufaika na utawala wa chama tawala
- Wastaafu waliopo ndani ya bodi na mashirika
- Viongozi wachache wa dini