Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,055
- 10,337
Dah..nadhani ni hakar...Niko radhi kabisa kurekebishwa
Sent using Beretta ARX 160
Dah..nadhani ni hakar...Niko radhi kabisa kurekebishwa
Duuuh"Hakar"we wa fasi ya wap mkuu 👴🏽👴🏽👴🏽Dah..nadhani ni hakar...Niko radhi kabisa kurekebishwa
Sent using Beretta ARX 160
Poa tu, ilimurad niwe na uwezo wa kudukua taarifa mbalimbali bila wenyewe kujuaNaskia kuna kitu inaitwa computer programming ni nzuri sana ila umri wako ndio itakuwa kigezo unaewxa kuchukua hata 5 yrs mpaka kuimaster
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ni hackerDah..nadhani ni hakar...Niko radhi kabisa kurekebishwa
Sent using Beretta ARX 160
Hayo mambo huku chuoni huwez fundishwa, mtu wa computer science hana utaalamu wa kuhack account, nishaongea naoSoma Computer science au Computer Engineering au information Technology,
Ukimaliza soma course kama java,
C++ , Oracle
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu watupe huo utaalamu, vyuma vimekaza, hata nikikamatwa na askari poa tuPlease go to concept.: ;;Hata mie nataka kuwa jambaka ila sijui procedures
Sent using Jamii Forums mobile app
Five years. DuhNaskia kuna kitu inaitwa computer programming ni nzuri sana ila umri wako ndio itakuwa kigezo unaewxa kuchukua hata 5 yrs mpaka kuimaster
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah komaa naye utafikia malengo au kupata pakuanzia ila ukifanikiwa usinisahauMkuu wew ni hacker.?.. Nondo zako nimezikubali aise
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha,,,shukuraniMkuu wew ni hacker.?.. Nondo zako nimezikubali aise
hahaha,,,shukurani
Soma Networking ni muhimu sana maana sijui kama unataka kuwa hacker wa offline .Wakuu nimekaa hapa natafakari kwa kina ni namna gani mtu anaweza kuwa huckers, anasomea vitu gani hasa, ili awe na uwezo na utalamu wa kudukua account na document mbalimbali bila wao kujua
Mfano huyu hucker aliyejiajir kwenye afya na kujipangia mshahara bila serikali kujua, imekuja gundua badae sanaa
Nataman kuwa kama hamza bendilladj a. K. a, smailing hucker, jamaa nakubali harakat zake, kutoka algeria japo alikamatwa na kutishiwa kunyongwa, alikuwa ameshadukua account mbalimbali na kuchukua fedha za kutosha, maisha yaende, na vyuma vililegea
Jaman napata vip hio elimu ya kuwa huckers, msaada wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hackers wasio na mitambo ya kisasa kama vijana wa Urusi na Israel hawawezi kuhack kila kitu. Unaweza kubase kwenye vitu 2 au kimoja tu. Wengine wanaweza kucheza na emails & blogs, wengine tovuti tu, wengine wanabase kwenye social networks. Mimi naweza kwenye baadhi ya social networks kama Instagram & Facebook accounts. |