Nitawezaje kuwa hacker

OK kuna hacker wa aina tatu ambao ni
1.white hat hacker
hawa ni the good hackers ,wanakuwa na permission ya kuhack kutoka kwa wenye site mara nyingi hawa huwa wanahack kufind vulnerabilities..
na kuprotect site from Black hat hacker
2.Black hat hacker...
hawa ndio wale hacker wabaya,hawa wanadukua account za watu,wana spread malware na virus,mfano ni WannaCry ransomware
ambao ina encrypt data zako na wanataka pesa uwalipe ndio wazifungue
3.Grey hat hacker...
hawa wanakuwa ni vuguvugu,wanakuwa nusu ni black hat na nusu nyingine ni white hat,
dhumuni la grey hat hacker yanakuwa ni zuri tu kusaidia company or people, ila they are doing it illegally..
so kwa kifupi grey hat ni good guys in wrong place....
4.Script kiddies..
hawa wanasumbuaga tu,newbie wanatumia tool zilizotengenezwa tayari kuhack,,kwa kifupi hawajui kinachoendela nyuma ya pazia,,
hawa ni copy and paste,wanatafuta fame za kijinga,hacking (fb,instargam account,etc)......wanaongozwa kuchukiwa kwenye hacking society...
JINSI YA KUWA Hacker
1. lazima ujue programming language,,
kwenye programming language kuna web programming na exploit programming
.....Web programming....
hauwezi kuhack kitu chochote kama hujui kimetengenezwa na nini..
lazima ujue web programming kama
1.HTML
2.CSS
3.Javascript
4.PHP.
2.EXPLOIT Programming
hapa usitegemee tool alizotengeneza hacker mwingine nawewe uzitumie,,
kama amri kuu kuliko yote inavyosema "hackers we inherently trust no one,including each other"
hapa tunazo python,ruby ,c++..etc
kwa beginner yoyote anayejifunza programming nashauri aanze kujifunza python.
Python ni lugha rahisi na nyepesi,ukishaielewa python vizuri nashauri ndio uendelee na hizo lugha zingine..
hizi zitakusaidia kuwrite ur own exploit,na kukurahisishia kwenye kuhack..
3.OPERATING SYSTEM
OS inayotumiwa sana ni linux,,lazima ujue kuitumia linux
ukishajua kuitumia sas utachagua OS ipi kama (KALI LINUX,Parrot os,Tails) hizi ni maalumu kwenye hacking,, ukitaka hata ubuntu
najua utajiuliza kwanini tunatumia linux wakati watu wengi wanatumia window?,
4.NETWORKING
Lazima ujue website zinacommunicate vipi,hii utakusaidia kwenye plan of attack,,
kwenye network lazima ujue data inavyoenda..
mfano kutoka kwenye smartphone yako to youtube mpaka imekufikia imepitia sehemu gani...
5.Social engineering
hahaha"ILE PESA TUMA KWENYE NAMBA HII(0745792216)JINA LITATOKEA GRACE MKWATIA"
sidhani kama hapa nina haja ya kueleza sana hii ni njia ya human exploitation,sometimes unaweza tafuta exploits kwenye system usizipate,everything is secure..
lakini kuna kitu kimoja kwamba human are not perfect,kila mtu ana weakness zake,,hapa hacker anaweza kucreate fake site(eg fb,instgram,)unakuta link inakwambia gonga hapa kuona picha za amber rutty,ukiclick unakupeleka kwenye login ya fb(fake),wewe utaona ni fb tu,ukiweka password na username/email tayari umedukuliwa....
stepu ni hizo kwa kifupi ukitaka to be hacker,ukiona ni nyingi sana be a script kiddie(unatumia tool ambazo wengine wametengeneza kuhack,kwa kifupi hawa hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia)...
jifunze tumia google vizuri,kuna tutorial youtube na vitabu vya kutosha ni wewe tu Happy hacking.....
pia zipo website nyingi tu(CTF#nitarudi kuielezea vizuri ..)
NB:hacker mzuri ni yule ambayo hajakamatwa na haachi trace yoyote ile....
"I'm good at reading people. My secret , I look for the worst in them"
 
Huu Uzi ni wa kitoto sana..hayo mambo yalishaelezwa humu jf ndani kitambo sana..ungeserch nyuzi za zamani jukwaa LA technology tu..kuliko kujaza manyuzi kibaoo!
 
Wakuu nimekaa hapa natafakari kwa kina ni namna gani mtu anaweza kuwa huckers, anasomea vitu gani hasa, ili awe na uwezo na utalamu wa kudukua account na document mbalimbali bila wao kujua

Mfano huyu hucker aliyejiajir kwenye afya na kujipangia mshahara bila serikali kujua, imekuja gundua badae sanaa

Nataman kuwa kama hamza bendilladj a. K. a, smailing hucker, jamaa nakubali harakat zake, kutoka algeria japo alikamatwa na kutishiwa kunyongwa, alikuwa ameshadukua account mbalimbali na kuchukua fedha za kutosha, maisha yaende, na vyuma vililegea

Jaman napata vip hio elimu ya kuwa huckers, msaada wakuu


Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Networking ni muhimu sana maana sijui kama unataka kuwa hacker wa offline .
Fanya uielewe networking vizuri
Pia scripting. languages kama python,perl kwa ajili ya kutengeneza exploit zako mwenyewe.
Pia C++,C,Assembly language ni muhimu kwenye reverse engineering.
Vilevile uelewe kwenye mambo ya database na languages zake kama structure query language SQL hii itakusaidi kwenye vitu kama SQL injection.
Pia jifunze hacker techniques kama utaenda chuo hii utajifunza mwaka wa mwisho.
Pia jifunze Hackers operating system amba zinatoka kwenye familia ya linux
Jifunze kutumia terminal kwenye shughuli zako za hacking maana utakuwa faster kushinda anaetumia GUI
Tumia Kali linux,Black box,Backtrack hii ni kama kali,na tails os
 
Naomba msaada kwa mtaalamu WA mambo ya hacking.
Mimi sina ujuzi wowote WA computer lakini najitahidi kusoma Sana mitandaoni so nikipata mtu WA kunisaidia hapo naomba anipe gharama. Niko mwanza
Natamani Sana kuwa ethical hacker
 
Hackers wasio na mitambo ya kisasa kama vijana wa Urusi na Israel hawawezi kuhack kila kitu.
Unaweza kubase kwenye vitu 2 au kimoja tu.
Wengine wanaweza kucheza na emails & blogs, wengine tovuti tu, wengine wanabase kwenye social networks.
Mimi naweza kwenye baadhi ya social networks kama Instagram & Facebook accounts.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom