Nitawezaje kuwa hacker

Duuh! Sawa mi muongo, niwekee link ya comment yako inayofundisha pengine mi ndo sikuiona

Mkuu nna post zaidi ya 3500, kama inawezekana zote ni zakijinga kwako hazifundishi we ziache tu zitawasadia, na zimeisha wasaidia wengine wengi tu tofauti na wewe.

snipa .....KAMA UMEZALIWA 1996 USISUMBUKE MAANA SINA TABIA YA KUBISHANA NA WATOTO

Kaka wewe hubishani na watoto kama mimi ndio , lakini wewe huoni kama ni hoja iliyo chini ya umri wako hii ?
Mimi ninachokiangalia ni wewe unaongea nini na unawaza nini, na ndivyo nitakavypkujibu,
Lakini kamwe sitoangalia wewe ni nani na unafanya nn.

point yako hii imenifanya niamini kweli kuna mikubwa jinga.

(hii ipo kwenye screenshort yako uliyoweka kule kuhusu tigo na facebook)

Account yangu ni hii "Elvis PlayGod" kaangalie vizuri details unazozitaka, link hii Elvis Playgod
Chief-Mkwawa humu kuna kizazi cha Facebook hivyo kuwa makini

Nilidhani wajinga tu ndio wenye hii ideology yakuidharau facebook, kumbe hadi wakubwa,

JamiiForums wana page facebook,
Raisi wako anayo page facebook
na wengine kibao
Sasa sidhani kama una mawazo chanya yakufikiri kwamba hao wote wametarget facebook kwasabu kuna watoto.

Sio wote wanaitumia facebook kuonyesha sura zao kama wanavyofanya watoto wako/ ndugu zako.
Jaribu kutumia akili ndogo uliyopewa kuwaza mambo yanayoendana na umri wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nna post zaidi ya 3500, kama inawezekana zote ni zakijinga kwako hazifundishi we ziache tu zitawasadia, na zimeisha wasaidia wengine wengi tu tofauti na wewe.

Kaka wewe hubishani na watoto kama mimi ndio , lakini wewe huoni kama ni hoja iliyo chini ya umri wako hii ?
Mimi ninachokiangalia ni wewe unaongea nini na unawaza nini, na ndivyo nitakavypkujibu,
Lakini kamwe sitoangalia wewe ni nani na unafanya nn.

point yako hii imenifanya niamini kweli kuna mikubwa jinga.

Account yangu ni hii "Elvis PlayGod" kaangalie vizuri details unazozitaka, link hii Elvis Playgod

Nilidhani wajinga tu ndio wenye hii ideology yakuidharau facebook, kumbe hadi wakubwa,

JamiiForums wana page facebook,
Raisi wako anayo page facebook
na wengine kibao
Sasa sidhani kama una mawazo chanya yakufikiri kwamba hao wote wametarget facebook kwasabu kuna watoto.

Sio wote wanaitumia facebook kuonyesha sura zao kama wanavyofanya watoto wako/ ndugu zako.
Jaribu kutumia akili ndogo uliyopewa kuwaza mambo yanayoendana na umri wako.

Wacha weee! Aha ha haaaa! Nlijua ungetoka mapovu. Ok! Take it easy
 
Naona ushauri mwingi kuhusu hacking ila cjawahi ckia incidents zozote huku tz kubwa wana

Au ndo hvo hackers tz wako stealth sana hawajitangazi :D:D ila ma script kiddies ndo wanajitangaza :D:D.
Tusaidieni basi sisi ma script kiddies tukajisifie Kwa madem zetu kuwa Na sisi tunatengeneza polymorphic worms
 
Hacking is a project sio kazi ya mzaha hata kidogo. Mm nimesoma ethical hacking india naijua vizuri nitafute kwa whatsap kwa namba 0782183441. Nitakutumia vitabu ninavyo na mavideo kibao ya wahindi kama 40gb,hivi
 
Wakuu nimekaa hapa natafakari kwa kina ni namna gani mtu anaweza kuwa huckers, anasomea vitu gani hasa, ili awe na uwezo na utalamu wa kudukua account na document mbalimbali bila wao kujua

Mfano huyu hucker aliyejiajir kwenye afya na kujipangia mshahara bila serikali kujua, imekuja gundua badae sanaa

Nataman kuwa kama hamza bendilladj a. K. a, smailing hucker, jamaa nakubali harakat zake, kutoka algeria japo alikamatwa na kutishiwa kunyongwa, alikuwa ameshadukua account mbalimbali na kuchukua fedha za kutosha, maisha yaende, na vyuma vililegea

Jaman napata vip hio elimu ya kuwa huckers, msaada wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Thefreedom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom