snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,215
- 1,656
Duuh! Sawa mi muongo, niwekee link ya comment yako inayofundisha pengine mi ndo sikuiona
Mkuu nna post zaidi ya 3500, kama inawezekana zote ni zakijinga kwako hazifundishi we ziache tu zitawasadia, na zimeisha wasaidia wengine wengi tu tofauti na wewe.
snipa .....KAMA UMEZALIWA 1996 USISUMBUKE MAANA SINA TABIA YA KUBISHANA NA WATOTO
Kaka wewe hubishani na watoto kama mimi ndio , lakini wewe huoni kama ni hoja iliyo chini ya umri wako hii ?
Mimi ninachokiangalia ni wewe unaongea nini na unawaza nini, na ndivyo nitakavypkujibu,
Lakini kamwe sitoangalia wewe ni nani na unafanya nn.
point yako hii imenifanya niamini kweli kuna mikubwa jinga.
(hii ipo kwenye screenshort yako uliyoweka kule kuhusu tigo na facebook)
Account yangu ni hii "Elvis PlayGod" kaangalie vizuri details unazozitaka, link hii Elvis Playgod
Chief-Mkwawa humu kuna kizazi cha Facebook hivyo kuwa makini
Nilidhani wajinga tu ndio wenye hii ideology yakuidharau facebook, kumbe hadi wakubwa,
JamiiForums wana page facebook,
Raisi wako anayo page facebook
na wengine kibao
Sasa sidhani kama una mawazo chanya yakufikiri kwamba hao wote wametarget facebook kwasabu kuna watoto.
Sio wote wanaitumia facebook kuonyesha sura zao kama wanavyofanya watoto wako/ ndugu zako.
Jaribu kutumia akili ndogo uliyopewa kuwaza mambo yanayoendana na umri wako.
Last edited by a moderator: